Search results

  1. Joel

    Mdada anayejitambua anahitajika

    ok
  2. Joel

    The done best - dodoma

    Kwa mahitaji yako ya vifaa vya kielektroniki halisi vya mtumba toka uk kama computers (desktops na laptops) simu za mkononi, printers, tvs,wasiliana nasi. Pia kwa mahitaji ya software ya aina yoyote wasiliana nasi. Kwa mahitaji ya kutengeneza computers, kutengeneza na kuflash simu, kudesign...
  3. Joel

    BlackBerry 4 Sale

    BlackBerry Bold 9700 at&t unlocked used in us,in good condition for sale @ 300,000/=. Ina uwezo wa kutumia internet bila ya kuwa na blackberry data plan. Ina applications nyingi kama facebook, ebuddy, nimbuzz, gmail, yahoo etc. Kwa anayehitaji ani pm. NB:simu ipo dodoma
  4. Joel

    Natafuta mdada wa kuwa mpenzi wangu

    naitwa Joel,nina umri wa miaka 32,nimejiajiri mwenyewe,nina urefu wa futi 6 na mwili wa kawaida,rangi ni mweusi.mkristo.mengineyo tutafahamishana baadaye.
  5. Joel

    Nyumba inauzwa kimara

    wadau wa jf kuna nyumba nzuri ya vyumba 3, choo, bafu, jiko, store, dinning room, sitting room na eneo kubwa tu la uwanja inauzwa. Umeme na maji vipo. Ipo kimara mwisho - ghorofani nyuma ya makaburi - njia ya kwenda bonyokwa.
  6. Joel

    Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa mil 25. Ina vyumba 3, choo na bafu, store, kitchen, dinning, sitting na eneo nje kubwa hata la kujenga nyumba nyingine. Nyumba ipo kimara mwisho ghorofani (barabara inayoelekea bonyokwa)
Back
Top Bottom