Search results

  1. happiness win

    Kumbe mpenzi wangu wa zamani ni boss wangu

    Mapenzi yenu ya kuonjeshana yalishaisha sasa imebaki stori, umeoa na watoto sasa unataka nini we kidume? Hebu tuliza kiuno uchape kazi.
  2. happiness win

    Satanic living is on, beware

    :tea::hungry::tea:
  3. happiness win

    Jamani hata mishikaki ya buku haifiki

    ha ha haaaa kibamia chako kinatoa mishikaki ya shi ngapi?
  4. happiness win

    Kama Adam angekataa kula tunda la mti wa katikati ingekuwaje?

    Tusingekuwepo.... adam angeishi milele na eva wake! dhambi ndio ilitufungulia mlango wa kuja kufanya maovu yetu! uzao wa dhambi... :bange:
  5. happiness win

    Swali: Nani ka msaliti mwenzake, mwanamke au mwanaume?

    Ndio ujue mapenzi hayana ukweli na hayana maamuzi mamoja. Mapenzi ni unafiki fulani hivi ambao mnakubaliana mdomoni lakini moyoni kila mmoja anawaza lake. Ukiwachunguza hao sio kwamba waliishiwa kabisa inawezekana kila mmoja ana ki akiba alijifichia. Kwenye mapenzi wote ni wasaliti.
  6. happiness win

    Kwa wanawake tu

    kwa taarifa yako wengiwaliokuwa wa kwanza kukata utepe ndio huchukiwa zaidi........ maana hakukuwa na utamu wowote.... kichungu hakikumbukwi
  7. happiness win

    Watoto kama hawa unawafanyaje?

    Atanikoma aliyewaaacha hadi wakafanya hayo makorokoro!
  8. happiness win

    Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

    MCHUNGUZI HURU Umechemka. Ni hivi kwa anayefanya kazi, mwisho wa mwezi ndio tarehe za kuvuna toka kwa bf wake, hivyo atazitumiaa hadi tarehe hizi bf kaishiwa ndio yeye anaanza kutumia mshahara wake, taratibu bila bf kujua, unajua wanawake walivyo wabinafsi (sio wote). Chunguza tena!
  9. happiness win

    Mzee wa upako: Ningekuwa rais wanawake wasingefanya kazi

    Dhambi iliingia baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi kwa kutotii na kutenda walilokatazwa. Wakafukuzwa bustanini. Wakalaaniwa watakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu.
  10. happiness win

    Nikubali au nikatae?

    U s i t h u b u t u
  11. happiness win

    Yaliyonikuta baada ya kulewa mbombonya nikalala kwenye kinyesi cha ng'ombe

    Umejikagua kila mahali??? isije ikawa ulishughulikiwa
  12. happiness win

    Bobbi Kristina's last journey

    Wabongo wataiga hivi vivazi wakati wa mazishi
  13. happiness win

    Hakuniambia kama alitolewa kizazi, nimegundua siri baada ya miaka 6 kwenye ndoa

    Weka mada mezani. Mwambie ukweli kwamba umejua alitolewa kizazi. Bila shaka atalia na kutubu kwa kukudanganya. Panga naye mkubaliane hatima ya penzi lenu; uoe mke wa pili akuzalie, uzae nje yeye alee au muachane! pagumu hapo, lakini hakuna jinsi.
  14. happiness win

    Alinisaliti nikagundua

    Unatakiwa kusamehe na kusahau.
  15. happiness win

    Moja ya mbinu za kujua mke anakusaliti

    Wanaume wengi wa aina yako wasiojiamini nawaonea huruma sana. Mkeo umkorofishe mwenyewe, akiamua kujiliwaza na tunyimbo tutamu unaanza kuumia, poleni sana vidume type
  16. happiness win

    Mrembo wangu hanisaidii kazi akija nyumbani

    Amekuja kama mgeni wako. Ukienda kwake utamsaidia????
  17. happiness win

    Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

    We wa wapi? aliyekwambia kucheka ni kufurahi nani? nimecheka jinsi mchakato mzima wa kuzuia kumwaga utakavyofanyika, sijafurahi huyo mkaka kuwa na tatizo hilo
Back
Top Bottom