Search results

  1. Mdimuni

    Kumbuka kufanya maandalizi ya Maisha(Stori ya Kweli)

    Pole sana kiukwel mpango wa maisha n muhm na kujenga familia yenye upendo n muhm sana, Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mdimuni

    Ofisi za Tigo zafungwa Zanzibar nzima

    Taaruki na usumbufu mkubwa umetokea visiwani zanzibar baada ya mamlaka ya mapato zanzibar kuifungia kampuni ya mtandao wa tigo kutoa huduma zake katika ofisi zake zote zilizopo zanzibar. Mwandishi wetu alifika eneo la malindi kwenye ofisi maarufu ya tigo na kukuta milango imefungwa uku kukiwa...
  3. Mdimuni

    Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Mjini aomba radhi

    Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mahmoud leo tarehe 10.12.2018 ameomba radhi. Rc Ayoub alikutwa na hali hyo wakati akiwa anatoka na Msanii Diamond Platnum kwenda katika kuwatembelea wajasiriamali katika viwanja vya Kariakoo Zanzibar pamoja na kupata chakula cha Mchana lakini kulikuwa...
  4. Mdimuni

    Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

    Wanaume siye hatuna shukran, dada wa watu kakupenda kwel unakuja kulalamika, sio kila mwanamke anataka pesa au familia yake itakutegemea, wengne wanajuwa kusema na shida zao, kama ulipanga kumchezea itakuuma na kama ulipanga umuoe basi nafs hyo, tabia hakuna mkamilifu jambo la muhm mwanamke...
  5. Mdimuni

    Jinsi familia zinavyoishi kwenye chumba kimoja na joto la Dar

    Wapemba wenyew huona wamebarikiwa
  6. Mdimuni

    Maswali yanayonipa shida kuyajibu namna huyu Dr. Vicensia Shule wa tuhuma za ngono UDSM alivyowasilisha ujumbe wake

    Kwa wale wapenda ngono watatetea upuuz huu, n sawa na mashoga kutetea mashoga wenzao
Back
Top Bottom