Hizi barua si za kweli,ni magumashi tu,kwani nijuavyo mimi na jinsi barua ilivyoandikwa ni tofauti.Kwa kawaida Polisi wana utaratibu wa kupeleka comment zao juu kwa wakubwa wao kwa kujaza fomu fulani na si kuandika barua za kawaida,hizo fomu hupitishwa wilayani,mkoani then kwa muhusika kama ni...

Jamaa kama jina lake,atakua amelewa ulanzi.Weka habari kamili na ushahidi wa mambo.Umekunywa mdindifu au mkangafu? aina za ulanzi hizo jamani kwa ambao hamjaelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.