Search results

  1. isabella

    Anataka serious relationship,humjui hakujui ila siku ya kwanza tu anataka game.

    Natumai wote tu wazima, Hii imemtokea rafiki yangu anayesaka ndoa kwa udi na uvumba,na akanisimulia jinsi alivyokutana na huyo mtu wake.baada ya kunielezea yote hayo nikaamua kuja kuwauliza na nyie mtoe mtizamo wenu juu ya hili. hivi umekutana na mwanaume leo yani humfahamu na wala yeye...
  2. isabella

    hodiiiii!!

    habari za mchana wenyeji wangu mimi nimgeni nimejiunga jana,naombeni mnipokee.
Back
Top Bottom