Search results

  1. K

    Ushauri jamani,Ni kwa hii Allegy nifanyaje!!

    Habari wana Jf!! Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali. Ahsante.
  2. K

  3. K

    Naomba kufahamu

    Habari Wakuu!! Nacte imeeshaanza kutoa transcript kwa wahitimu wa mwaka 2018 ambao walimaliza mwaka jana mwezi wa kumi 2018. Ahsanteni.
  4. K

    Nani anaijua dawa ya usingizi zaidi ya valium?

    Habari.! Anayejua dawa ya kupata usingizi tofaut na valium ambazo kwa sasa hazipo tena madukani naomba anisaidie. Shukrani.
Back
Top Bottom