Search results

  1. frank lujaju

    Harufu baada ya Chafya

    Habari wana JF,Napenda kuelimishwa sababu na tiba juu ya harufu inayotoka baada ya kupiga Chafya,je usababishwa na nini na nini tiba yake ,asanteni
  2. frank lujaju

    Kuitwa kwenye usaili

    Kila la kheri wote mlioitwa
  3. frank lujaju

    Salary scales

    Habari wana JF naomba kujua viwango vya mishahara katika salary scales zifuatazo: {1}TGS A {2}TGS B {3}TGS C {4}TGS D Angalau izo tu .Naomba anayejua aninidadavulie plz
  4. frank lujaju

    Bangi noooooma

    Kuna jamaa mmoja kaikoleza kichizi bangi si ikamtuma avue nguo zote na akaenda kwenye kioo kujitazama akajiona kama kavaa suti akatoka kama alivyo mpaka kwa masela wake kwa kujidai kweli kweli,akawauliza vipi mnaonaje suti yangu imenikaa eeh,mvuta bangi mmoja akajibu "mwanangu suti imekukaa...
  5. frank lujaju

    Naomba ushauri wenu wana jf plz

    Ni mwaka mmoja sasa tangu tuhitarifiane na mpenzi wangu wa awali ,sababu ya mimi na yeye kukwaruzana na kuachana ni pale nilipohitaji kujua ukweli wa jambo fulani baada ya kulisikia,lakini matokeo yake akaamua kunitext kwamba nimuache aendelee na masomo yake na she will not care about what I...
  6. frank lujaju

    Partial and full transcript difference

    Wana JF naomba kujua utofauti baina ya Partial transcript and Full Transcript nasema ivyo kwasababu kwenye vacancies nyingi wanazotangaza unakuta wanasema partial Transcript are not allowed only Full transcript are allowed,na kiukweli nahitaji kujua utofauti uliopo baina ya viwili ivyo
  7. frank lujaju

    Hi

    Mambo vp Wanajamii?
Back
Top Bottom