Search results

  1. M

    Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii.

    Ww muraa unaniabisha sasa,,,kwani akienda huko ustawi wa jamii watakufanyaje???kama una evidence zote acha aaende tuuu. Ila mwishowe ataambulia laki moja tu.
  2. M

    Namba za organizer wa TB Joshua hapa Tanzania

    Acheni masuala ya kumkatisha tamaa mtoa post kila mtu ana imani yake moyoni/nafsini.kama kuna anayejua amwelekeze kwa DM. Masuala ya kuanza kumwelekeza akaabudu wapi sio amri yenu. Wengine mmetoka kwa waganga hivi juzi tu humu ila mnajidai hamfanyi.
  3. M

    Anapost picha yuko na best man

    Unajua muda mwingine sie wanaume tuna akili za mende,,,,yaani mwanamke/demu wako anapost kwenye dp anamsifia msela alafu unakuja kuomba ushauri,,,wa nini???https://jamii.app/JFUserGuide u
  4. M

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Umeona eeeh!!asitufanye hatujui yanayoendelea huko Mugumu.
  5. M

    Leo Lissu anafanyiwa upasuaji wa mwisho kabla ya kurejea nyumbani, Tumuombee..

    Mwenyezi Mungu amsimamie katika hili...ukipona mh Tundu Lissu rudi Nchini kwako haraka,,na sio kuzunguka huku na huko kumkashifu Mh Rais na kutuhumu vyombo vya dola.
  6. M

    Jiwe yu wapi?

    Kuna siku huwa najiuliza,huyu jamaa alikuwa Afisa Usalama kweli???maana mara nyingi huandika pumba japo sio post zote.
  7. M

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Acha ukabila ww,,umeandika kinazi sana..mengi uliyoongelea kuhusu Dr Kebwe Stephen ni habari za kuokoteza kwenye vijiwe vya kahawa hapo Mugumu,serengeti.
  8. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Naogopa ku comment zaidi ya hapo.
  9. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Siwezi kukujibu kwa matusi,,,,lakini yote uliyosema kunahalalisha Tundu Lissu kumkashifu na kumdharau Rais wa Jamhuri,,,mzee Nchi yetu bado changa sana ,tuijenge kwa umoja na tuwapinge wote wanaotaka kuturudisha nyuma. Alipigwa risasi na watu wasiojulikana na sio vyombo vya dola,tukio lake...
  10. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Rafiki yangu,hakuna sheria kandamizi hapa Nchini inayokataza viongozi kusemwa kwa sababu hii ni Nchi huru na ya kidemokrasia,,lakini kusemwa kwenyewe kuwe kwa staha na nidhamu na sio kashfa na dharau.
  11. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Andika kama una maarifa kichwani,,,mhemuko na matusi ya nini??au una chembechembe ya U tundu Lissu,,utetezi gani anaotoa??nani amenufaika na yote aliyoyasema??kumkashifu Rais ndio utetezi??ama kutuhumu na kudhalalisha vyombo vya dola ndio utetezi?? Mwambieni arudi Nchini aendelee na kuwasemea...
  12. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Joseph Sokoine,,,hajafukuzwa ubalozi,bali alifanyiwa mabadiliko ambayo ni kawaida katika utendaji wa serikali. Na hadi sasa kama sijakosea ni katibu mkuu wizara(sijaipata vizuri)
  13. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Tigha uwe!!!!na wewe mura mzima unaungana na TL???hizo kashfa anazotoa Kwa Mkuu wa Nchi huzisikii???na je tuhuma za kipumbavu kwa vyombo vya dola??? Rudi jando msani hukuiva
  14. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Jisemee wewe ila wengi tunapingana naye kwa sababu za kumtukana Rais na vyombo vya dola..
  15. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Nyoooh!!risasi apigwe na chadema halafu kutukanwa atukanwe Mh Magufuli na vyombo vya dola???
  16. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Lugha ya staha kidogo,,,hatujuani lakini tuheshimiane!!!! Kwa hiyo risasi nilimpiga mimi??aeleze bila kumkashifu Rais wetu na vyombo vyetu vya dola.
  17. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Lowassa,,,,hahahah ofisi za CCM Tanzania zote zimejengwa kwa nguvu za chama kwa kushirikiana na wanaccm....hivi ruzuku mnayopewa matumizi yake ni yapi???
  18. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Kama wewe sio mtanzania please pita kando.
  19. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Hizo risasi atakuwa alipigwa na watoto wa chekechea
Back
Top Bottom