Search results

  1. K

    IGUNGA (Siasa, Uhalifu na Kura za huruma.

    Ninaanza kwa kusimulia Kisa cha kweli kilichowahi kutokea mjini Moshi eneo la Majengo. Majambazi yalivamia Bar yakiwa na silaha za moto, yaliwalaza chini Wateja wote na kuzima taa, jambazi mmoja alitangaza kuwa yeyote atakayejaribu kunyanyuka atakutana na hii (alipiga risasi hewani) Baada ya...
  2. K

    Tanzania, ufisadi na Mafisadi.

    Wana Jf nimekuja tena mbele yenu kutaka ufafanuzi kwa Habari kamili inayohusu UKWAPUAJI WA MALI ZA UMA. Ufisadi hapa Bongo land umeanza hivi karibuni ama ulikuwepo hata enzi za Mwalimu. Tujikumbushe kabla ya sherehe za miaka 50 ya --. 1. Ilikuwepo kampuni ya UMA ya usafirishaji mizigo enzi hizo...
  3. K

    Barrick imetunyanyasa sana.

    Nilisoma gazeti la Mwana halisi la 31August kuhusu malalamiko ya wahusika dhidi ya Mwajiri au aliyekuwa Mwajiri wao. Nionavyo mimi. Lawama hazistahili kwenda kwa Kampuni ya Barrick kabla ya kuangalia mapungufu yameanzia wapi? Watu wanaangalia na kulaumu walipoangukia bila kuangalia wamejikwaa...
Back
Top Bottom