Search results

  1. Papaa Muu

    Benki ya CRBD yakutana na Rais na Zanzibar na Wawakilishi

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi kwa kuendeleza Uchumi wa Buluu na kuweka mkazo katika kuziimarisha sekta za huduma, ikiwemo sekta ya utalii, ambayo ni muhimili mkuu wa uchumi wa Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  2. Papaa Muu

    Uchaguzi 2020 Lissu asifu zoezi la upigaji kura

    Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu mchana kwenye Kituo cha Kijiji cha Mtewa Kilichopo kata ya Ntutu Wilayani Ikungi, Singida. Tundu Lissu...
  3. Papaa Muu

    Rais wa Zanzibar, Dk. Shein amefika hospitali ya Micheweni kuwapa pole wanaCCM waliojeruhiwa na wana ACT Wazalendo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefika hospitali ya Micheweni kwa ajili ya kuwapa pole wanachama wa CCM waliovamiwa na kupigwa huko katika kijiji cha Kwale, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Rais Dk. Shein alifika Hospitalini hapo...
  4. Papaa Muu

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku Kama tulivyoona kwenye sehemu yetu ya kwanza ya kuichambua Ilani ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 ili kila Mtanzania aweze kuielewa na kuifahamu Ilani hii ya Chama tawala hata kwa ambaye hana uwezo wa kuipata. Sehemu yetu ya kwanza tuliangalia kwa mapana...
  5. Papaa Muu

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussen Mwinyi Mgombea Urais mwenye dhamira ya dhati juu ya umoja wa kitaifa Zanzibar

    Na; Makame Ali Makame 11/10/2020 Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi amebainisha mara kadhaa dhamira yake ya kulinda na kuheshimu Katiba yetu kama Mkataba maalum baina yake na wananchi wote. Ukifuatilia kwa makini kampeni za Dr. Hussein Mwinyi utabaini kwamba yeye ni mgombea mwenye staili ya pekee...
  6. Papaa Muu

    Maendeleo ya vitu yalivyookoa maisha ya Zitto Kabwe

    Jana Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Zuberi Kabwe, alipata ajali mbaya ya gari baada ya gari la Mgombea Ubunge kuigonga gari yake kwa nyuma. Mungu ni mwema, Zitto pamoja na majeruhi wengine wanaendelea vizuri. Kwa kweli kama isingekuwa uwepo wa madereva bodaboda na...
  7. Papaa Muu

    Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Wazee

    Sera ya Taifa kwa Wazee iko poa sana, kongole Magufuli na Chama chako CCM
  8. Papaa Muu

    Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

    KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI KILICHOKAA LEO TAREHE 23/9/2020. KIMEMKUTA NA HATIA YA KUKIUKA MAADILI KWA KIWANGO CHA JUU, WAKILI @fatma_karume (ROLL 848) NA HIVYO KUAMURU JINA LAKE LIONDOLEWA (PARMANENT. REMOVAL) KATIKA ORODHA YA MAWAKILI TANGANYIKA
  9. Papaa Muu

    Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

    BILIONEA LAIZER AKIKABIDHI JIWE JINGINE KWA SERIKALI Jiwe la madini ya #Tanzanite la mchimbaji mdogo Saniniu Laizer lenye uzito wa kilogramu 6.33 ambalo amelikabidhi kwa serikalini leo na kupokea fedha zake taslimu Shilingi za kitanzania takribani Bilioni 4
  10. Papaa Muu

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni. Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:- "Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi...
  11. Papaa Muu

    Tanzania ni taifa kubwa tusiyumbishwe

    Na Thadei Ole Mushi. Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na...
  12. Papaa Muu

    Jilinde: Nilinde: Tulindane

    Askofu Mkuu TAG Dr. Barnabas Mtokambali aliwahi kuhubiri akisema neno USIOGOPE limetajwa kwenye Biblia mara 366. Maana yake kila siku unatakiwa uiambie nafsi yako USIOGOPE. Rais Wa JMT Mhe. Dr. John Pombe Magufuli aliwahi kutuambia kwenye moja ya hotuba zake HOFU inaweza kuuwa haraka kuliko...
  13. Papaa Muu

    David Kafulila atofautiana na Zitto Kabwe

    akili za zitto kabwe zimeenda na matunguli yake anayotumia yameanza kumrudia mwenyewe
  14. Papaa Muu

    Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Msimamo wa Rais Magufuli wa Tanzania kuwataka watu wake kufanya kazi huku wakichukua tahadhari za maambukizi ya virusi vya Corona, ulibezwa na kukashifiwa huku baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vikiuita msimamo huo eti ni 'ukaidi' wa kuiga maamuzi yaliyochukuliwa na ulimwengu mzima...
Back
Top Bottom