Search results

  1. Makambovich

    Hivi Barça(bunge) wamejiandaa kweli kupambana bila uwepo wa Messi (CAG) kwenye timu yao?

    Jana taarifa ya CAG iliwasilishwa bungeni Kama sheria inavyotaka! Kabla taarifa hiyo haijawasilishwa kila mtu anajua Barça(bunge) liliamua kuvunja mkataba na mchezaji wake mahiri Messi (CAG). Kwa miaka mingi uwepo wa Messi (CAG) uliwang'arisha wachezaji wengi wa Barça(bunge) kutokana na pasi...
  2. Makambovich

    Sare ya Simba leo lawama kwa Serikali

    *Sare ya Simba lawama kwa Serikali,* kitendo cha kufungia uwanja kimetuathiri sana, siku zote ili kummaliza adui tunahitaji muda mrefu wa maandalizi ikiwemo kamati zetu kuweka miundombinu vizuri pale uwanjani. kwa mechi hii ilikua vigumu sababu uwanja ulikua tayari mikononi mwa serikali...
  3. Makambovich

    Kama wanashindwa kutusaidia kwenye mechi za kimataifa kuna haja gani ya kuwa na Mapro wengi kwenye vilabu vyetu

    Tumeangalia mechi ya Al Alhy na Simba huku wachezaji wazawa watatu tu Aishi Manula, Jonas Mkude na Rashid Juma wakipata nafasi ya kuanza wengine waliobaki ni hawa tunaowaita wa kimataifa, kwa muda mrefu tuliamini tunafungwa na timu za wenzetu sababu ya kukosa wachezaji wa kimataifa wakusaidia...
Back
Top Bottom