Usikute wewe ndio ulimtibua jamaa wa watu alikua anaenda fresh tu mwanzoni saivi kaona isiwe kesi kaona akuoneshe mziki hua unaenda vipi ukileta kiburi
Sababu ni ngumu kwa mwanamke wa leo kuolewa na mtu wa hivo lazima jamaa alikua fresh at first
Haya ndio matatatizo ya kusikiliza one sided story...
Yaani mwanamke saivi akupende hivi hivi tu mkuu labda awe denti tena wa O level
Lakini hawa wengine wote wanataka mtu mwenye uhakika wa maisha yaani hela haswaa isiyo ya ma wenge
Tafuta hela acha kulalama mkuu! Hivi huoni diamond anavobadilisha watoto wa level ya Distinction au A class na wanampenda balaaa akiwaacha full michozi lakini kipindi hio anauza mitumba hata vi chenchede au viswaswadu vya mtaani vilikua vinampita hiviiii!!😊
shangaa wewe mkuu kwani lazima mtoto akupende?? Kwanza me nnavojua watoto hata iweje hata uwe karibu kwa kuhudumia familia yako kwa hali mali kuanzia malezi mpaka gharama za kulea mpaka wakiwa wa kubwa bado watakupa asilimia 5 tu za kukujali wewe kama Baba 95% zote kwa Mama
So ka unamhudumia...
Na mpango wangu ndio huo hapo bado wa tatu watakua wa 4 then me ni bata tu kwa kipindi kitachobakia sizai watoto ili waje wanisaidie baadae coz me mwnyw niko vizuri Aisee wao wakiihitaji msaada wangu watanitafuta wasipohitaji it's Ok
Sina haja ya kuendelea kuweka bonding na mtu ambae anataka kumtumia mtoto ka remote ya kunipelekeshea..
Amejifanya mjuaji it's fine alee mwenyewe mtoto angu sio taahira atanifuta tu mshua wake naeza nisimsaidie utotoni ila hata ukubwani naeza msaidia coz nia ninayo
4 sure mkuu me nawashangaa hawa ujue ka kututafuta watoto wanatutafuta sana wakishapata akili na kujielewa na kuweza kuyachuja ya Dunia ki undani zaid kwa kuzichuja sumu walizomezeshwa na mama zao
Huo wa diamond ndio mfano wenu mkubwa sio?? Lakini asilimia 90 hua wanawatafuta Baba zao na wanawahudumia vizuri tena kwa upendo mkubwa baada ya kuujua ukweli kua mama zao ndio walikua wakorofi at first.
Nyie leeni tu si mnajifanya mna viburi sa malalamishi ya nini tena.
Wakikua watatutafuta tu Baba zao au hua hamsikiagi huko kwny ma redio watu wapo bize kuwatafuta Baba zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.