Search results

  1. Salhat

    Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Helo wana JF, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba kujua nkiwa Dar napandia wapi gari zinazoenda Kibiti. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  2. Salhat

    Pumba za mahindi

    Hlw Wana jf Karibuni mjipatie pumba nzuri kwa ajili ya mifugo inachakula Cha kutosha Tunapima sado 1000 Nusu sado. 500 Gunia 27,000 Gunia linakuwa na sado 30 na Zaid Wale wateja wataochukua kwanzia gunia 5 usafir watapata bure Tunapatika Moshi holili barabara ya kwenda taveta Kenya karibuni...
  3. Salhat

    Blazer za kike grade 1

    Hlw jf members nmewaletea vikoti (blazer) za kike kwa Bei nafuu kabisa ya shiling elf 10 kwa reja reja elf 8 kwa Bei ya jumla kwanzia pc 5 mifano ndo Kama hvyo kweny picha mzigo upo wa kutosha napatikana dar mabibo hostel karibun sna
Back
Top Bottom