Search results

  1. T

    Naona giza nene maisha ninayopitia pamoja na ajira niliyonayo,ushauri wako ni muhimu.

    Ni tatizo kivipi mkuu ili nipate wasaa wa kuubadilisha?
  2. T

    Naona giza nene maisha ninayopitia pamoja na ajira niliyonayo,ushauri wako ni muhimu.

    Thanks mkuu,ndoto yangu kuu ni kujiajiri kupitia kilimo cha kisasa na ufugaji lakini kwa kuanzia nijiajiri kwanza kwenye ushereheshaji na zaidi nichape kitabu changu.
  3. T

    Naona giza nene maisha ninayopitia pamoja na ajira niliyonayo,ushauri wako ni muhimu.

    Sheme Mkuu,shemeji yenu nilimfungulia kiduka lakini walikuja kuiba kila kitu
  4. T

    Naona giza nene maisha ninayopitia pamoja na ajira niliyonayo,ushauri wako ni muhimu.

    Ni sahihi unachosema mkuu,kuna vijiji vingine kweli si haba unaweza fanya chochote cha kupunguza vitu lakini kiukweli hiki kijiji nilichopo is totally unproductive,ningekuwa mjini hata tuition ningegonga sana.
  5. T

    Naona giza nene maisha ninayopitia pamoja na ajira niliyonayo,ushauri wako ni muhimu.

    Miaka 30 ni umri wangu na nipi kwenye hii kazi ya ualimu kwa miaka 9 sasa.Lakini ndoto zangu zote nilizoziwaza za kimaendeleo hata robo hazijatimia zaidi ya kufanikiwa kuanzisha familia ambapo mpaka sasa nina mke na watoto wawili. Ingawa kuna factors nyingi zinazonivuta nisifikie ndoto zangu...
  6. T

    Kona ya Music system,wadau tukutane hapa.

    Hahahaaaaa,umetisha mkuu,dj naye ni tool?
Back
Top Bottom