Search results

  1. Tieli

    Weka urafiki na wanajeshi(bakabaka) hutojutia

    Wale vijana waliouwawa na polisi wakidai ni panya road, ile ni haki au sio haki?
  2. Tieli

    Ndoto ya kuwa askari inayonitesa hadi sasa

    Ungejua tangu mwanzo ungeenda kuingilia jkt wilaya za pembezoni huko sio mjini,,, kuingia jkt kwa wilaya zilizo mjini kutoboa ni ngumu,
  3. Tieli

    Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

    Sio uongozi tu hata kama ni kazini wenye akili na uzalendo wakitaka kufanya kazi kwa bidii watapigwa majungu hadi waonekane takataka na wajinga Kati ya watu wavivu, wala rushwa, upigaji na wachumia tumbo
  4. Tieli

    Kukosa ulichokitaka na kupata ulichokitaka yote ni majanga

    Funguka zaidi ili na sisi tujifunze kutoka kwako
  5. Tieli

    Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

    Tatizo kubwa ni woga wa maisha,, unakuta huyu mwalimu ndio ana msululu wa watu wanaomtegemea,,,, kwa muda atakaokua kaacha kazi je ataishije,,, sasa yale mawazo ya kuwa je atatoboa nje ya ajira lazima yampe woga
  6. Tieli

    Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

    Mpwayungu mi nadhani ungekuja na njia nzuri ya kuwasaidia hawa walimu, mtu anafundisha mfano kiswahili /geography/ civics na mshahara wenyewe ndio huo sasa unasema wewe unaweka mafuta siku 3 Mpe mbinu basi ajikomboe vipi kwa hiko kimshahara ina maana hata mtaji wa kufanya mishe nyingine haupo hapo
  7. Tieli

    Boss wangu amemtolea mahari mwanamke mwingine; naumia sana

    Mbaya zaidi kama ulikuwa na nyodo kwa wafanyakazi wenzio kisa kutoka na boss kazini utapaona pachungu au kama wote walikuwa wanajua wewe ndio chakula ya boss halafu anaolewa mwingine hayo ni maumivu mengine tena
  8. Tieli

    Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Unakuta mpo kama watano hivi wote mmejazwa mkajazika, ataenda kujitambulisha kwa yupi?
  9. Tieli

    DOKEZO Maafisa wa TRA, TAA, Airport Cargo jijini Dar na rushwa ndogondogo

    Nani wa kuchukua hatua kwa unavyojua serikali yetu ilivyo
  10. Tieli

    Magufuli Ungekuwepo Leo nisingefanyiwa Haya. Pumzika Baba

    Labda ni kituo cha polisi au hospitali
  11. Tieli

    Duniani Kote, Ni Rahisi Sana Kuiondoa Serikali Nzuri Kuliko Serikali Mbaya.

    Uzi mzuri sana huu natamani kama watanzania wengi wangeuona sema ndio hivyo tunaona wachache tu tuliopo jf,,, hongera mkuu inaonesha wewe ni mzalendo na una uchungu na mapuuza yanayoendelea hapa nchi ya giza
  12. Tieli

    Mnaobeza safari za Rais Samia nje ya nchi, hamjui majukumu ya mkuu wa nchi

    Hao unaosema wanakuja kutoka mataifa mengine, kwa umeme wetu huu wa mchongo wakirudi kwao unadhani tuna sifa gani huko? pamoja na hayo maroyal tour yenu si kazi bure
  13. Tieli

    Happy birthday prof. Janabi

    Hivi huwa anatibu na raia wa kawaida au wenye pesa ndio kipaumbele?
  14. Tieli

    Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

    Ngoja chawa wake waje kujibu hoja wakiongozwa na Lucas Mwashambwa
  15. Tieli

    Matokeo ya uchaguzi Ccm chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

    Lucas atakuwa anamuandaa mwanae kuwa chawa kama yeye
  16. Tieli

    Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Umemaliza kila kitu ,, na unaweza oa mama wa nyumbani kama tangu kwao alikuwa mvivu hutaweza kumbadilisha kitu
  17. Tieli

    Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Akili zenyewe si ndio mpaka uwe nazo sasa, kama hazipo jee Maana wanaume wa siku hizi nao akili zilishayeyuka na kubeti
Back
Top Bottom