Search results

  1. Aiba

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Kila nchi ina mifumo yake ya kijeshi kulingana na geography ya nchi yao ilivyo kwaiyo jeshi linaundwa kulingana na udhaifu na uimara wa mazingira yao yalivyoo sisi TZ askari wengi lazima wapate mafunzo ya infantry na ndiyo msingi wa jeshi letu ulivyo kulingana na geografia ya nchi ilivyoo then...
  2. Aiba

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Hii ni kujifariji kusema kuwa mashambulizi yalikuwa weak kiuhalisia USA,UK, na France wametoa support kubwa sana na yote sabbabu mashambulizi yametoka mbali imekuwa rahisi kujipanga kuyakabili ila naamini kabisa vita vikianza mashambulizi yataanzia karibu Iraq Syria na Lebanon
  3. Aiba

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Amuombe msamaha wa nn uko na akili kichwani kwelii watu wengine kama vichaaa kwenye hii nchi
  4. Aiba

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Weee ni mpumbavu kqbisa mjinga na mshamba wa wanawake na utaumizwa siku zote ukiendeleza uwoo ubwege mshenzi
  5. Aiba

    VICOBA ni idea nzuri, Ila kwa Tanzania haitekelezeki

    Vikoba vimeingiza Dada zetu kuwa na wanaume wengi sna Ili wafanye marejesho hadi huruma
  6. Aiba

    Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

    Ni ujinga kutembea na mwanamke mkubwa kwako kiumri alafu umpe pesa utakuwa punguwani
  7. Aiba

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Uko sawa kichwani kweli
  8. Aiba

    Nifanyeje ili kutuliza akili na roho kumuacha huyu dada isiwepo?

    Sikuzote wanaume wanaorukaruka sana na wanawake wengi mwisho wao hutumbukia kwenye ndoa na wanawake wa hovyo sana Apo ulipoingia ni huruma ya Mungu ndyo ikuondoe ila kwa akili yako naona ushakwama. Ogopa uongo wa mwanamke kuwa baba mtoto amenitelekeza mbele ya safari yenu wataanza kuwasiliana...
  9. Aiba

    Aliniambia nikichepuka ataondoka na mtoto wangu na sitampata kamwe, yametimia ameondoka na mtoto nifanyeje?

    Uyoo mtoto ulimzaa wewe hadi umtafute au una asilimia ngapi kuwa mtto ni damu yako ivi wanaume wengine mmechanganyikiwa au mbona vijna wa sikuizi mmekuwa legelege sana mtoto hujamza alafu unatishiwa nyau na mwenye mtoto
  10. Aiba

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Utoto raha sana na uyoo broo uliyeenda naye kwa docta wote vichaa kqbisa kwa ushauri ukija kuowa mwache mwanamke afate hatua zako siyo wewe kumlazimisha kuzifata hutajutia maisha yako yote
  11. Aiba

    Himars bado zinawatesa Russia 65 wauliwa Donetisk

    Hiii picha ina ukakasi sana askari wengi wa urusi wanafungaga vitambaa vyekundu au vyeupe mguuni au kwenye mkono lkn hakuna ata mmoja mwenye kitambaa ichoo
  12. Aiba

    Himars bado zinawatesa Russia 65 wauliwa Donetisk

    Naona umefufuka hahahga ila izi taarifa zipo toka majuzi mji wa adviinka ulivyoangua kwanza walianza na taafira ya kuangusha ndege nne za urusi Leo wamekuja na taarifa izi naona yote ni kuwapa wapiganaji wao ari mpya ya kupigana na kuwaondolea akilini kile walichofanyiwa na viongozi wa juu...
  13. Aiba

    Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

    Mtoa taarifa umeitoa taafira kiubinafsi Sana ila siyo mbaya ila kumbuka mafanikio ya China kwenye nyanja zote za kiuchumi,kiteknolojia yanaishtua sana Marekani si ivyo tu China na japani wapo mbali sana kwenye tafiti za bullet train na si miaka mingi wataanza kuileta kwenye matumizi ya kijamii
  14. Aiba

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Binadamu ni wanafki sana kaka Trumb amepewa mikesi kibao toka aseme anagombea uraisi kwa Mara ya pili ila watu kwa unafki wanalaumu tu urusi kinachotokea saivi Hungary ni sawa na kuuchochea serikali iliyomadarakani ing'olewe kupitia mgongo wa EU Kila nchi ina Sera zake ni kama Leo hii marekani...
  15. Aiba

    Nawezaje kurudiana naye?

    Huruma kwako ni kuwa bado hujaonja sana utamu na uchungu wa mapenzi na ndyo udhaifu anaoutumia kwako Mungu akusaidie usirudi kwake majuto yake yatakuwa makubwa sana
  16. Aiba

    Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza na kuwateketeza kundi la Hamas kama walivyoahidi

    Ilikuwa kosa kubwa kwa Israeli kuingiza jesh nsdani ya Gaza yanayotokea saivi ni maajabu kwa udogo wa eneo LA Gaza na uwezo wa jeshi la Israeli pamoja na washirika wake imekuwa jambo LA kushangaza sana kuwa bdo hawajawatoa hamas mashimoni
  17. Aiba

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Acha zako makanisa yote yamekuwa kama sehemu ya wizi, waumini wamejitaidi sana kufungua vitega uchumi vya kanisa, makanisa saivi yanamiradi mingi sana ila bdo yanazidi kutaka zaidi na zaidi kutoka kwa waumini bora iyoo pesa apeleke kwa yatima
  18. Aiba

    Moja wapo ya Fungu kwenye Biblia linalotafsiriwa vibaya: Matendo ya Mitume 10:15

    Mungu atakuhukumu kwa kutofata amri zake ayo mengine mnajidanganya tu
  19. Aiba

    Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Wala usimsingize mkeo ila ulifuga upumbavu wako hukusimama kama mwanaume ila mpumbavu unayeongoza familia
Back
Top Bottom