Search results

  1. ematec

    Natafuta Kazi, nimesomea IT nina uzoefu wa kufanya mapambo

    Nitumie CV, pamoja na vyeti kwenye emai hii. Ili tuangalie kama unatufaa. info@evotec.co.tz
  2. ematec

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Hapana, sio NVR pekee ndo utatumia router, hata DVR unaweza kutumia Router. Utaweza kuangalia ulipofunga Camera zako kupitia simu na kuona kinachoendelea, ukiwa popote ndani na nje ya nchi. Simu utaiwekea App itakayowasiliana na NVR au DVR yako kupitia Router. Lazima simu iwe na bado lenye spidi...
  3. ematec

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Kazi huwa hazitokei mara kwa mara. Unatakiwa kuwa mvumilivu wakati unajitolea, fanya kila kazi wanazo kupa hata kama sio za CCTV, afu huwezi kufundishwa tu kama darasani. Una gain mwenyewe wakati mnafanya kazi. Kwa ufupi kazi ya kufunga CCTV haihitaji nguvu nyingi, inahitaji kufikilia sana...
  4. ematec

    Nafasi ya Kazi Afisa Masoko

    Hilo linashughuliwa Mkuu, Wala sio kigezo Cha kuifanya Kampuni kushindwa kuendelea na Kazi. Domain ipo njiani Mkuu.
  5. ematec

    Nafasi ya Kazi Afisa Masoko

    Yes. Inaeleweka hivyo Bosi.
  6. ematec

    Nafasi ya Kazi Afisa Masoko

    EVOTEC LIMITED: Ni Kampuni inayojishughulisha na masuala yote ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliwano ikiwemo Matengenezo ya vifaa, Ufungaji, na Uboreshaji wa Mifumo yote ya Computer, usambazaji na Uuzaji wa Vifaa vya Electronics. Kampuni imesajiliwa na Brela kwa No:151571492 na inapatikana...
  7. ematec

    Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

    Kaka asante, samahani kama nitakukwanza. Natanguliza samahani. Mimi nimehangaika sana kutafuta hiyo mashine ya kuchonga hizo mambo mpaka sasa sijafanikiwa, huwa nafanya kazi hizi kwa kuchonga na mkono. Nimeangalia hadi mtandaoni naziona lkn namna ya kunifikia ndo huwa naona km nitashindwa...
Back
Top Bottom