Yanga mnatoa povu kubwa sana ,na mnajiona wakubwa sana baada ya kuifunga timu kubwa, Simba
Nataka niwakumbushe kuwa japo kuwa Simba imezifunga timu bingwa wa Caf msimu ulio pita yaani 20/21 na bingwa wa shirikisho msimu wa 21/22,lakini pamoja na kuzifunga timu hizi kubwa ,Simba haijawahi...
Najiuliza kwann enzi ya utawaka wa Tenga kwanini haukuwa na mafanikio makubwa tofaut na Wa sasa
Tatizo lilikuwa hawa viongozi aina ya mwakalebela muda wote anaongea pumba tu ,sasa atawaza nini maendeleo ya mpira
Huyu mwaka hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ,abaonekana ana majungu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.