Search results

  1. B

    Wabunge wa CCM wadhihirisha ubovu wao

    Hiyo mbona ndo walivyo kwani hukuwaona jinsi walivyokuwa eti wanalalamika kwa Kinana hela zimetengwa kwenye bajeti lkn hazifiki kwa wakati na ni watu hao hao wakiwa bungeni kila kitu naunga mkono hoja utafikiri malalamiko yanaenda kwa mtu mwenye mamlaka kuliko bunge. Shame on them
  2. B

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Hakika mzee wetu umenena vyema. Kwa mtu yeyote anayeitakia mema nchi hii ataunga mkono hatua iliyochukuliwa na CHADEMA maana katika dunia hii hakuna taasisi ambayo haiongozwi na taratibu.Kwa hiyo kwa mtu yeyote anayeshindwa kufuata taratibu walizojiwekea ni bora akakaa pembeni. Kwangu mimi Zito...
  3. B

    Asilimia kubwa ya Wazanzibari Wataka Zanzibar ijitegemee kila kitu

    Nafikiri wanasiasa wetu hasa Wananzibari wawe jasiri waseme waziwazi kuwa hawautaki Muungano maana kwangu mimi sioni mantiki yoyote ya kuendeleza hizi ngonjera mara wanataka wawe na sarafu yao huo ni muungano au ni kejeli? Kwani Tanganyika tumepungukiwa na nini? Inabidi wasimame sasa waseme...
  4. B

    Nembo ya Taifa yawekwa kwenye mvinyo

    Wenye akili ndogo km za kwako ndio wanaweza kuamini maneno ya kipuuzi km haya.
  5. B

    Ni kweli haya yapo tutawaeleza nini watoto wetu miaka ijayo

    Nakubaliana nawe mkuu lakini napenda kutoa angalizo kuhusu kuwaachia vijana. Nionavyo mimi sasa hivi hawa jamaa wameshasoma upepo wanachokifanya sasa hivi ni kurithisha watoto wao madaraka unaweza kuona hatari iliyopo kwa nchi kumilikiwa kiuongozi na familia moja mfn familia kuanzia baba, mama...
  6. B

    Baraza labandua matangazo ya uchochezi kupinga Muungano

    Mimi ningekua na mamlaka kilichokuwa kinatakiwa ni kuitisha kura ya maoni Zanzibar kuhusu muungano na ningeweka maswali mawili tu: 1. Ninataka Muungano 2. Sitaki Muungano. Kwani nionavyo mimi Wazanzibari wamewachoka watanganyika kisingizio cha kudai mfumo wa serikali tatu ni geresha tu maana km...
  7. B

    Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Hao TISS unaowasema siku hizi hatuwaamin maana nao wamegawanyika makundi makundi hivyo hao inategemea wanalinda maslahi ya nani.
  8. B

    Ikulu yawajibu walimu, yasema mgomo ni Batili, kesi iko mahakamani

    Unategemea nini kwa serikali ambayo imeshashindwa kujibu hoja na kubaki na vitisho. Haya kazi kwenu walimu LIWALO na LIWE
  9. B

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    Ni katika nchi km Tanzania tu ambako unaweza kusikia kauli za ajabu ambazo zimejaa jeuri na kisasi ambako watawala wanaweza kufanya maamuzi yoyote hata km maamuzi hayo yataleta madhara zaidi. Km ana jeuri anatakiwa atuambie wtanzania kwa kuamuru Medical council of Tanganyika kuwafutia leseni...
  10. B

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    Ni katika nchi km Tanzania tu ambako unaweza kusikia kauli za ajabu ambazo zimejaa jeuri na kisasi ambako watawala wanaweza kufanya maamuzi yoyote hata km maamuzi hayo yataleta madhara zaidi. Km ana jeuri anatakiwa atuambie wtanzania kwa kuamuru Medical council of Tanganyika kuwafutia leseni...
  11. B

    Ujinga wa viongozi wetu na matibabu ya nje.

    Umenena vyema mkuu. Lakini wenye tatizo ni sisi wananchi maana tumeshakubaliana na hali ilivyo sasa mfn ukienda hospitali ukaandikiwa dawa ukaambiwa hazipo unaridhika na wengine tunawalaumu madaktari kuwa wanapeleka dawa kwenye maduka yao tunasahau kuwa mchawi wetu ni serikali kwani MSD inafikia...
  12. B

    Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

    Gwenugu nago mhayo
  13. B

    Vipaumbele vya serikali ya jk.

    CT scan pale muhimbili tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa ni mbovu miezi 6 wakati ina zaidi ya mwaka sasa na ukilinganisha bei kwa muhimbili km inafanya kazi ni sh 50000 kwa mgonjwa ambaye hayuko kwenye fast truck ni bei ambayo walau mwananchi wa kawaida anaweza kujipigapiga akalipa. Lkn...
  14. B

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Alistahili hayo mapokezi kwani yeye alienda km mwakilishi wa waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto au waziri wa afya
  15. B

    Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

    Tukizungumzia swala la technology tunahitaji hiyo miaka ambayo umeitaja lakini sisi kinachosumbua hata km na wenzetu wanakopa sisi tumezidi kwa mfn bajeti yetu haiendi bila wafadhili wenzetu km kenya wamewezaje kupunguza kiwango cha utegemezi? Huhitaji teknolojia yoyote kusimamia mapato mfano ya...
  16. B

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Hakuna cha ubaguzi wala nini kwani kinachowasumbua nyie niwoga. Maana utakuta nurse wodini anajifanya daktari kuprescribe dawa km mnaujasiri si mngekuwa mmeshaunga mkono siku nyingi. Mmezoea kufaidika kwa nguvu za wenzenu hebu kumbukeni mwaka 2005 maDr wasingegoma hata hiyo mishahara mnayoipata...
  17. B

    Taarifa kwa umma

    Nikurekebishe mkuu hiyo siyo MAT(Medical Association of Tanzania) bali ni Tanganyika Medical Council ambao wanatumiwa na serikali
  18. B

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Lkn mimi ninachokiona wanaorudisha mapambano nyuma ni wale wanaopenda kujipendekeza kwa wakubwa hasa wale ambao hawawezi kazi za mikono hasa kwa Surgical specialties kwani wanaona sehemu ya kujifichia ni serikalini maana hawawezi kupata ajira kwingine.
  19. B

    Waandishi wa Habari Tanzania wamekosa Uzalendo

    Hawawezi kutofautisha Bunge, Mahakama na Serikali km ulivyoeleza kwa sababu ya mambo yanavyoendeshwa sasa hivi. Mfano; jaribu kurejea mijadala bungeni ambapo wabunge hasa wa CCM wanapogeuka kuwa wasemaji wa serikali na hukumu tata za Mahakama mfano kesi ya mgombea binafsi maamuzi ambayo...
  20. B

    Family planning na uhuni wa wazungu

    Hilo nalo neno
Back
Top Bottom