Search results

  1. Gwajima

    Tujadili kwa kina: Kuna dhambi gani endapo ntatumia huduma ya Internet bila malipo?

    Khaaa, hebu wasiliana na makampuni kama Simbanet na TTCL uwaulize kama wana hiyo huduma au hawana.
  2. Gwajima

    Kumbe hii ndiyo maana ya "Kazi Iendelee"?

    Hiyo avatar ni wewe, if yes naomba kukutembezea mkono wa baunsa.
  3. Gwajima

    Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    Kamamake Hamisi Kigwangala, sijatukana.
  4. Gwajima

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Kuna ma. fal.a walikuwa wanamchukia JPM, wacha nchi iuzwe sasa.
  5. Gwajima

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Imezikwa Chato[emoji24][emoji24][emoji24]
  6. Gwajima

    Kumbe hii ndiyo maana ya "Kazi Iendelee"?

    Huyo marope nikiwa Rais labda ajinyonge ila adhabu yake ni kusuguliwa hadharani
  7. Gwajima

    Kumbe hii ndiyo maana ya "Kazi Iendelee"?

    Nikutukane tusi gani?
  8. Gwajima

    Makamba usipotoshe Nyanda za Juu Kusini hakuna ukame

    Nikiwa Rais huyu kipara ni wa kusuguliwa kabisa.
  9. Gwajima

    Kumbe hii ndiyo maana ya "Kazi Iendelee"?

    Wakati akiingia madarakani, Rais wa awamu ya 6 alitambulisha kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee bila kusema ni kazi ipi hiyo, je ni ile iliyofanywa na awamu ya 4 na kuja kusitishwa na awamu ya 5 au ni ile iliyofanywa na awamu ya 5 iendelezwe. Kadiri muda unavyo kwenda nimeanza kuelewa ni kazi...
  10. Gwajima

    VIDEO: Hayati Magufuli alilisema hili la upungufu wa maji bwawa la Mtera linalotokea kwa sasa

    Naamini mabadiliko ya tabia nchi hayajaanza leo wala jana, ila propaganda huko nje ni kana kwamba miezi 8 baada ya kifo cha mtumishi wa Mungu JPM hali ya hewa si rafiki tena, mabwawa hayana maji ya kutosha kuzalisha umeme, mito imekauka, visima havitoi maji tena. Nk Tukiiamini hii kauli ya JPM...
  11. Gwajima

    Tujadili kwa kina: Kuna dhambi gani endapo ntatumia huduma ya Internet bila malipo?

    Mkuu nimetoa ufafanuzi kuwa sitajibu sms inbox wala sifanyi hii huduma kwa watu, ila wanaohitaji watafute taarifa Google na wataalamu wa mambo ya sattelite wanaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kufanikiwa.
  12. Gwajima

    Tujadili kwa kina: Kuna dhambi gani endapo ntatumia huduma ya Internet bila malipo?

    Kama ni wazungu wanaotuibia madini na rasilimali zetu hata siwaibii, ni kwamba natumia rasilimali za Africa zilizopo kwao, basi.
  13. Gwajima

    Tujadili kwa kina: Kuna dhambi gani endapo ntatumia huduma ya Internet bila malipo?

    Kwanini nijifiche mkuu kwa jasho langu, sijamwibia mtu kitu. Hii Mimi nadhani haina tofauti na kupata huduma za FTA channels.
  14. Gwajima

    Tujadili kwa kina: Kuna dhambi gani endapo ntatumia huduma ya Internet bila malipo?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugaidi wa internet? Khaaa
Back
Top Bottom