Search results

  1. S

    Ushauri kwa hili la tcu leo

    Hii akaunti sikuzote ilikuwa sawa lakini leo inaniambia NO Application done.USHAuRi NICHUKUE HATUA GANi?
  2. S

    Heslb:hatimaye bodi yatoa majina mengine

    For more details tembelea website ya bodi
  3. S

    Heslb:hatimaye bodi yatoa tamko kwa waliochaguliwa awamu ya pili na zitakazofuatia

    Mkopo kwa wanachuo wa chaguo la pili na mengineyo kwa mwaka wa masomo na bajeti 2011/12 ''MKOPO HAKUNA'' KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA WEBSITE YA BODI''HESLB''12/10/2011
  4. S

    Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

    Kwa GPA 3 wako sahihi kabisa na inabidi wapewe pongezi kwani wanawaokoa wanaokaribia kupotea na kuyumbisha taifa.Ila uongozi ni muhimu kuwepo
  5. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    Kweli Taifa laangamia yani hesabu ya kitoto tena isiyowezekana 2X=4X NA X=UNDEFINED na si 4 wengine mnaji2ngia maswali yenu.nadhani sasa mmejionea kwamba kufaulu mitihani ni umakini na si kukurupuka kama baadhi ya wa2 humu ALWAYS THINK TWICE BEFORE ZA ACTION
  6. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    acha utoto umeambiwa 2X NA SI 2^X
  7. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    acha danganya toto umeambiwa 2X=4X na sio 2^X
  8. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    we ndo umelaniwa na ukalanika kwani undefined inaandikwaje?
  9. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    karudie kukariri toka lini ukaapply log upande mmoja?
  10. S

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    2tolee uchekechea wako.we chukua alama ya ukimwi kisha iandike kwa ulalo ndo correct answer.
  11. S

    Kudos ndalichako. Mitihani haivuji

    Muda wa kuwapongeza bado ndo kwanzaa siku moja imepita na madogo wako cool hawaongelei kabisa paper.siajabu wamebana mwanzo na mwisho au kati wataachia.
  12. S

    i will be more thanksful for this...!

    Tatizo ni wewe,ukipewa wazo na we unaenda kutoa kwa wengine na pia we ni mwanafunzi shemsha akili yako.na mengine yatafuatiaa
  13. S

    Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

    Umekwisha ambiwa inorder 2discover something there must be an invisible force play part in ur mind sasa wewe ukishindwa kupata gpa kubwa kwa kufikiri kwa kina na kuelewa ulichofundishwa ndani ya semister utaweza kugundua hiyo software..maplan ni kupiga gpa ili kile nilichogundua kiweze...
  14. S

    Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

    Ukistaajabu ya musa utayaona ya filaun na mkumbuke ya kwamba a toad cannot run on a day time for nothing na kila problem come with gift so acheni malumbano kila m2 amaind his/her own bussness.wa2 2napanga mikakati ya kupata GPA kubwa nyie mnarushiana madongo kavipi fungeni hizo akaunt zenu.lets...
  15. S

    Loan board yatoa loan breakdown

    Ohoo sorry kumbe mgawanyo wa ARU uko kwenye allocation ya kwanza.
  16. S

    Loan board yatoa loan breakdown

    Si breakdown 2 pia wametoa na majina ya waliojosa na sababu za kukosa kwao mikopo.KINGINE ARU NA DUCE HAVIONEKANI KWENye list
  17. S

    Loans allocation for applicants of 2011/12 has been broken down.

    Nadhani umekosea kuiwasilisha hii mada hapa kwenye jukwaa la elimu,ipeleke kwenye jukwaa la utani
  18. S

    Elimu ni uwezo na si cheti

    <br /> <br /> afadhali uwaeleze mana kunakoendelea wale wa dv1n2 waliokosa mikopo watakosa support kutoka kwa wale waliopata 3 na wanamkopo
  19. S

    Elimu ni uwezo na si cheti

    <br /> <br /> tatizo unaangalia upande mmoja wa shilingi,hivi kwanza unajua ya kwamba waliopata dvs 3 ni wengi kuliko 1n2,na watoto wengi wa masikini ni 3 hasa wale wa science ktokana na ugumu wa masomo pamoja na ukosefu wa pesa za kuendeshea masomo yao na shule zenyewd ndo hivyo tena.think...
Back
Top Bottom