Hizi ratio za pesa huwa zinatolewaje ?
Wanatumia vigezo gani?
Mfano unaambiwa elfu kumi ya Kenya ni laki kwa tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
TANZANIA
Na Xavi Hernandez Alcantara
Tungeweza kuwafunga mapema tu Burundi hata kule kwenye penati tusingefika bila shaka lakini tushukuru kwa ushindi Ambao tumeupata kupitia mikwaju ya penalti. Wachezaji wa Burundi wakiondoka basi bila shaka watakuwa wakiulizana. Juma Kaseja anacheza Raja...
Sasa Nasemaje tengeneza kikosi chako unachokijua halafu kilete kicheze na Manchester united Eti Maguire anajificha kwenye takwimu!!!!tengeneza hoja acha chuki na kuchambua mpira kishamba
Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial.
Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu.
Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas...
Wote ni bora tatizo linakuja pale ambapo tuliwapata wote wawili kwa nyakati tofauti miaka yao ikiwa imeenda sana tumeshindwa kumfaidi yule Pascal Wawa OG wa Azam,Mwanjali kwa msimu alikuja pale msimbazi jaribu kuvuta picha kama angekuja Misimu Minne nyuma!!balaa lingekua kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.