Search results

  1. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    kaka kama umecheza draft no dought kukariri ni muhimu mnoo na uwezo ni muhimu kwa ulowaona ivi kuna mtu anapiga draft la akili kama mzee noel? ila anapoteana coz hali copy mpya mara nying sisco anacheza draft kabisa unaona ili amelikariri na ndo kinamsave mnoo anacheza anacheka cheka njonjo kibao
  2. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    kwaiyo ndio sababu ya kukataa kukalia bench?? yeye sababu kubwa ni anasema hayupo tanzania.. Akipangiwa table ya dakika tano anakataa kuendelea..
  3. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    cr7 anatoa droo bro anamjua.. unless kama mkulima kaja na version mpya apo itakua balaa
  4. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    kaka mm nlipitia game za mkulima karibhni zote asee kibinaadam kwel mtu huwezi kosea hata kidogo? game alizofungwa mkulima ni either muda au ameamua kuswitch side kwaiyo atajiloozisha. amefungwa game moja tu kihalali katika loose zote zile unazoziona apart from akichezaga chineese,,tena iyo game...
  5. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Hakuna kitu kigumu kama kumuona mtu anateka ufalme wako na ww ukiwepo bro…goli alilofungwa cr7 ile ya tege kaanzisha mwenyewe..kaitembeza kidroo kumbe sisco ana goli lake kwenye huo mguu alibaki ameshangaa tuu later on akarudisha ule mguu tena ili amuone kama dogo atachomoka,,dogo akatoa droo...
  6. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    REMATCH DOGO SISCO VS CR7 RESULTS DOGO SISCO 2 vs CR7 0 Sisco ni mkubwa sana sana🫡🫡
  7. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    ni ya mda kidgo nmeamua niilete umu jamvini..muone ronaldo hajaisha kabisa
  8. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    JAVA LOUNGE STADIUM [emoji2522] BIG MATCH BIG MATCH BIG MATCH BIG MATCH NOEL NAMALOE vs CR 7 THE SCIENTIST Mdhamini; DANY DENYO(MDHAMINI NUMBER 1 TANZANIA) CAMERA MAN: MKOREA KAMISAA : CHANDE MICHEZO : OJ + TEGE 10 KOMBE [emoji471]: 1,000,000(Winner 800,000 loser 200,000) MATCH UPDATE...
  9. B

    Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Anaitwa MONDO.. famous Kwa jina la "wild cat" Anakula panya kama kawaida, sema anakula adi kuku,kanga Kwa kuwinda.. Apo ni mkubwa...sio kama giant cat wengine yani chui,tiger
  10. B

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ya package ilikua kawaida sprayer ilikua inamwaga kama Bomba la mvua ila ilikua inakaa adi unajiuliza kwani Kuna difference na O.G? Nakumbuka 2020 ivi nlichukua creed lastly ilikua moto mnooo nkanunua chupa 2 daily Wana lazima wakuulize..Ile ya kishkaji "we fala ivi unatumia unyunyu gani" wengi...
  11. B

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ni kweli usemacho ila mfano izi sauvage, saviour(by Paris corner),sauve(by global world) nyingi apa ni fake mzee,na za kupima oil zao nyingi ni low quality kaka.. Ukikuta mtu ananukia sauvage O.G no doubt ipo tofauti au ukute ya kupima mtu oil ni high quality yenyewe ndo inakaribiana na sauvage...
  12. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Mm ni fan mkubwa wa Ronaldo..draft siku zote lipo hivyo la mabingwa discussion muhimu..na Ronaldo ana watu pia kina issa mamba.. Unakumbuka game ya issa na noel..noel akafa?? Ilikua mda kidgo issa alikua anatembea miguu ya cr7.. Ikajirudia fainali ya issa mamba na nduli je? Cr7 kashinda na...
  13. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Mzee noel ni bingwa mda mrefu sana.. Sisco ni mkubwa Kwa madanali ila ubingwa wa kitaifa ni kuanzia apo 21 ndo jina limekua kubwa ila mzee noel ni wa mda mrefu mno
  14. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Nazani hukunielewa..wakati sisqo anajoin na kina nduli na noel,,bingwa alikua ni mzee noel nazani apo utakubali kwanza.. Pili kusema kutumia akili nyingi hii haipingiki man,, nenda manyanya buni mchezo wako wa style yoyote lazima atafutwe noel au mangwez(sema Sasa hachez mno),, mfano bingwa...
  15. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Hakuna aliemfunga mkulima kihalali ndugu yangu kweny game la Tanzania.. either muda uliisha Kuna mtindo anasukuma kete Moja alafu hachezi tena.. kama uyo dogo mapenz hua anacheza na mkulima Chinese lile la kumalizana ndo anafungwa..playok hakuna aliemfunga mkulima kihalali zaidi ya David mbeya...
  16. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Kwangu mm ni tofauti kabisa Sisco wakati anaingia Kwa watu huru bingwa ni noel.. Ila kma unavyomjua nduli Kuna kipindi hataki mechi kabisa analitema draft, noel nae akienda njombe anakua mnyonge akirud dar.. Sisco ni mchezaji anaepoteza mda kweny madanali yani asubui adi usiku akibadilisha pool...
  17. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Ronaldo aliingia kweny game kibabe sana kwasababu kijiti Cha ubingwa kilitoka Kwa mangwelele kikaingia Kwa Shaban katoto..wakiamini Shaban katoto hafungiki..siku akapata chance nae ndo apo jina la Ronaldo likajulikana.. alishinda 3-0..Kila game baada ya apo katoto anatafuta sare.. Ndo maana adi...
  18. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Nazani nilijitaidi kuelezea kwamba mkataba huu Kwa Ronaldo utakua mgumu Kwa mkulima..kama upo playok utakua umeona sana game mkulima vs ashkelon zinavyokua..baada ya Ronaldo kumshtukia mkulima anasema live mkikutana kwamba ukicheza nae ckuzote usiishambulie kwakua iyo ni program.. Kma unamjua...
  19. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Kila ukipita manyanya unamkuta anakula kashata na kahawa ndo msosi wake apo tangu asubui aseee
  20. B

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Bahati mbaya juma amefariki.. Juma alilifanya kweli draft kua biashara yake..kino alikua haweki izo mkataba kwakua pale Kuna wakubwa sana..yy anatembelea vijiweni mitaani
Back
Top Bottom