Search results

  1. lihiswa caps

    Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

    Umefahamika vyema ila andika kwa kituo usichanganye maneno.Kwa ufupi umekusudia kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja yaani kufikiri na kutenda hapo hapo ni kulazimisha maisha. Katika nyanja za kiimani kufanya jambo kisha ulikaliwacha na kukamata jengine kunaufanya moyo ufubae
  2. lihiswa caps

    Marekani hulinda mambo mawili tu ili iendelee kuwa dola kuu duniani...hamna zingine tena.

    Hii ya kimbunga si chai mkuu,fafanua japo kidogo
  3. lihiswa caps

    Magroup ya whatsapp Tanzania mengi hayana maana!

    kikwazo kipo katika maadili labda;umaadili ni nini nalo ni neno kwa wengine. magruop ni kuunganisha tu,ni jambo zuri lakini linakuunganisha kuhusu nini, jee kazi na taaluma zipo kimaadili yatakiwayo.
  4. lihiswa caps

    Magroup ya whatsapp Tanzania mengi hayana maana!

    Anachoongalia mtoa mada ni kwa ujumla wake kuwa magroup hayapo kimaadili bali ni uharibifu wa kimaadili. ubaya au uzuri ni mambo ya kimaumbile;kwa mfano kuuwa au kuiba au kufanya uzinzi hili kila binadamu anajua kuwa jambo hilo si zuri.
  5. lihiswa caps

    Hodi

    karibu sana ingawa na mi ni mgeni pia
Back
Top Bottom