Search results

  1. O

    Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Jina la Mungu ni Yesu Kristo
  2. O

    ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Mkuu@Dumas the terrible, namna ulivyokuwa unawateea anunaki lakini sasa unamuamini kristo ni jambo linalostajaanisha.natamani kusikia ushuhuda wako!!
  3. O

    Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

    Mkuu mokiti naomba andiko la allah kuwa na mguu mmoja na mikono miwili kulia
  4. O

    Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    Robert unasema Roho haina utambuzi, unazungumziaje maandiko ya biblia yanaposema Mungu ni Roho wakati Roho haina utambuzi
  5. O

    Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Yohana 10 36 je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
  6. O

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Hapo Mungu baba alikuwa na mwanawe Yesu Kristo Yohana 17 5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. Yesu kristo alikuwa na Mungu baba kabla ya ulimwengu kuwako
  7. O

    Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

    1 Yohana : 5 : 4 - Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu. 1 Yohana : 5 : 5 - Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu? Hayo maandiko yana uhusiano na...
  8. O

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Jamii zimekuwa zikiamini miungu tofauti tofauti Wafilisti- Dagoni Wacanaani- Baali Wagiriki- athene, zeus, poseidon Warumi- athene Wachina- budha Wahindi- shiva, krishna Waarabu- allah Waisrael - yehova Vipi jamii hizo zote utasema zinaabudu mungu mmoja
  9. O

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Mkuu ROBERT HERIEL nakubali sana hoja zako unazojenga. Naomba unisaidie kuelewa kwa nini Mungu wa waislamu Allah anajitambulisha kwa uwingi kwenye koran?
  10. O

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Mkuu ROBERT HERIEL nimesoma nondo zako ni hatari sana. Naomba ukiweza anzisha uzi kuhusu Mungu wa waislamu Allah kutumia wingi kwenye kujieleza.
  11. O

    Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

    Mkuu vipi kuhusu sheria ya kutokula nguruwe nayo ni kivuli cha mambo yajayo?
  12. O

    Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

    Mkuu hivi anachojaribu kusema huyo mchangiaji kinaweza kuwa na uhisiano na Warumi : 14 : 5 - Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe. Naomba pia ufafanuzi wa Wakolosai : 2 : 16 - Basi, mtu...
Back
Top Bottom