Search results

  1. Will Jr

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Kuna mchizi mtu mzima kuliko mimi nilikutana naye shop pembeni kulikuwa na demu anasubiri huduma, jamaa likaanza kujiExpress paka kero yani "ooh nywele zako nzuri" sijui "suruali yako ya kijanja" "ooh mi napenda tu kuwasifia wanawake nafurahi." Yani paka nilimuonea huruma yule demu, that was a...
  2. Will Jr

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Jamaa una akili sana, masculine figure km wewe wanahitajika humu JF. Najua wapo wengi ila wana exist in shadow, jitokezeni mnahitajika humu wazee. kuna brother alinipa story ya mfanyakazi mwenzie, anasema huyu mshikaji ana wake wawili ni waislam, wake zake wote wanafanya kazi ni waajiriwa ila...
  3. Will Jr

    Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

    Hiyo attitude haiwezi kukusaidia kama Conscience ndani yako inajiona kuwa na hatia, kujisamehe ni kuanza kuwa righteous from there.
  4. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    *apambane
  5. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Inaoneka kwenye mkataba wake aliambiwa ukiifunga Arsenal unaongezewa mkataba, jamaa badala apambine timu halina style, no identity, tactically flawed wanacheza tu ku survive afu anatuwaza km mashabiki yao kina flano.
  6. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tutampiga vibaya sana round hii, acha apanie, aangalie sana hii Arsenal sio ya kupania kama huna quality. Mpira wa kukamiana ushapitwa na wakati. Tunauwezo wa ku control transition maybe we're the best in the world in this regard, wenzie wanatokagap hata shot on target hawana, hana mbinu Zaidi...
  7. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Carlos cuesta ni kama kawa Assistant coach baada ya kuondoka Steve Round, maana Arteta alikuwa na wasaidizi wawili, so Cuesta siku hizi naona kasogezwa karibu zaidi, na huyu dogo atafika mbali akikaza nyonga cuz anapata details nyingi from the best wakati akiwa na umri mdogo.
  8. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Our out of possession football is next to none, maybe the best in Europe, hii inatupa chance kubwa kuendelea mbele kwenye UEFA. Silaha yetu kubwa msimu huu ni uwezo wa kuzuia wapinzani wasifunge magoli, Out of possession (Arteta > el chollo). kipindi Arteta anachukua FA cup alipaki bus flani la...
  9. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee hii michuano ya knockout ni migumu mno, na experience ndio kitu cha msingi, jana nimegundua kwamba olympiacos na sporting lisbon walitutoa kihalali, kwanza kipindi kile hatukuwa na quality depth pili hatukuwa na experience. Timu ya kuiogopa nahisi itakuwa Intermilan, sababu KO ni...
  10. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni bora Alonso aende Liverpool kuliko Chelsea, Chelsea kikosi wanacho, na pesa, na kocha mzuri atakuwepo, ni mwezi mmoja tu akiichukua timu gari linawaka. Afu mbaya ni mshikaji wake Mikel Arteta tangu utotoni. Ila sisi tutapambana sababu Arteta ni jeshi.
  11. Will Jr

    Mademu wa kishua ni mzigo

    Mwanamke akiwa mvivu hakuna mke hapo, mambo mengi yataharibika
  12. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jorginho ni no.6 mmoja hatari sana timu inapokuwa na mpira, ndani ya muda mchache aliocheza kapiga progressive passes 9 na assist juu, jamaa angekuwa na uwezo wa kudefend transitions mbali na kutegemea structure angekuwa best itw at 6.
  13. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Martinelli inabidi awe striker cuz ni mnyama sana akiwa karibu na goli, Arteta afanyie kazi hili suala. Kwenye timu yetu hatuna good finisher kumzidi Nelli. So zile tetesi za Rafa leao zinamake sense kama Nelli anasogea golini, target man anabaki leao sababu ya kimo, Nelli injini ya magoli, Saka...
  14. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kati ya Leao na Osimhen unamchukua yupi? Na kwanini? Binafsi nakubali kumpata Leao na Martinelli akasogea kuwa CF. Mpira wetu unapendeza zaidi tukiwa na WC wingers, tumejijenga kutengeneza mashambulizi kupitia wingers kwa kipindi hiki cha miaka 3 nyuma.
  15. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ø inapendekezwa acheze karibu na Martinelli, so lcm is the perfect suit for him, Ø ni kati ya wachezaji tunawaita the ball to feet players, Martinelli ni behind runner nadhani unaona hiyo combination itakavyokuwa kuliko kuwa na havertz & Martinelli on the same side wakati wote ni runners. Mfano...
  16. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nilitaka kuandika vitu Kama hivi anavyosema Pep ile siku nyumbu mmoja ananiquote anasema ARSENAL IS OVERRATED, sijui FALSE HOPERS, nikajiuliza why? with all the good food footy we play anasema The Arsenal is overrated?, nikandua anajudge mpira by final results sio process or performnce km...
  17. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    They hate when a genius speaks about us, when pep talks about Arsenal they say its a mind games! You're a fool and you know nothing, just keep your mouth shut!
  18. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimeona taarifa kuwa Arsenal wanatafuta FB, Ben white ni mchezaji mzuri sn lakini binafsi naamini toka zamani Ben white hafit kwenye ile position, Ben white ni CB, kama tukipata fb mzuri km Anorld kwenye ule upande wa RHS kutakuwa na magoli mengi sana, imani yangu ni kama tacticos wengi wa...
  19. Will Jr

    Kocha anayepokea mpunga mrefu kwenye timu zinazoshiriki AFCON msimu huu

    Duh! mpira una hela mamak, Huyu wa kwetu anakula ngapi? Walid Regragui anajua boli kuliko washamba wengine wanaomzidi pesa.
  20. Will Jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Dogo nakuonaga comedy tu, huna tofauti na joti au mpoki.
Back
Top Bottom