Search results

  1. Silverone

    Jinsi Rais Magufuli anavyowanyoosha Wazungu, Vibaraka wao wahaha kila kona

    Endeleeni kujifariji, hii nchi siyo familia, huwezi kuogoza nchi hii kwa kufuata matakwa ya mtu binafsi, tuna Katiba na sheria, hatutaki matamko. Nawapongeza sana umoja wa ulaya na USA
  2. Silverone

    Namna Muswada wa vyama vya siasa utakavyoathiri watanzania wote kama ukipita kuwa sheria

    Binafsi naunga mkono kauli ya mheshimiwa Zito, muswada haupaswi hata kusogelea corridor bunge. Tuwaze muswada huu usiende kabisa bungeni.
  3. Silverone

    President Dr John Pombe Magufuli has a strong public mandate

    Your perception totally is wrong, he deserves not to be the president we were waiting.
  4. Silverone

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Acha kuzunguka, asiifanye tbc kuwa kituo cha propaganda za ccm
  5. Silverone

    Diwani Pascal Mhembano Matulah ameuga mkono juhudi

    Mjinga, barua yenyewe kaandikiwa, halafu eti hapati ushirikiano toka viongozi wa kitaifa, jamani hata aliyemuandikia barua ni mbumbumbu, muandishi wa barua lengo lake ni viongozi wa kitaifa, diwani ana viongozi wa ngazi yake kiuongozi ni kata, wilaya, mkoa, kanda. Kushikiwa akili ni kubaya sana...
  6. Silverone

    Mwita Waitara: Tarehe 4/11 CHADEMA walifanya mkutano maazimio yao ni kuvuruga amani ya nchi, washughulikiwe

    Ktk historia yangu Ya maisha sijawahi kukutana na mtu mpumbavu kama huyu, Chadema wamempuuza, roho inamuuma, anaropoka vitu vya hovyo ambavyo havina mashiko, mjinga huyu, anatapatapa
  7. Silverone

    Polepole: Tumeamua mwisho wa kupokea Wabunge na Madiwani iwe Novemba 15, 2018

    Kwanza inaonyesha namna ccm kuwa haijali gharama zinazobebwa na walipa kodi, kwanza kuwanunua wabunge na madiwani, pili kirudia uchaguzi. Lkn pia inaonyesha jinsi ccm ilivyo na nia ovu ya kivihujumu vyama vya upinzani na kuhujumu Demokrasia, kwa kufanya hivi ccm ina mpango wa kuharibu mfumo wa...
  8. Silverone

    2015 Tuliteseka kukipigania chama lakini leo tunaonekana wajinga. Hatutakubali

    Haiwezekani hata kidogo, chama sasa wanapewa watu ambao hawakuvuja jasho, hivi ni lini Bashiru alivuja jasho ndani ya ccm, ni lini Humphrey Polepole alivuja jasho ndani ya chama, wamekuja tu juzi wanapewa nafasi nyeti, hawaijui ccm, wala historia yake, mtu anakuwa eti mchambuzi tu anapewa ulaji...
  9. Silverone

    Viongozi wasitafute kiki kwenye maisha ya watu

    Nimemuona mkuu wa mkoa wa iringa ktk kile alichokiita iringa mpya, jana akizungumza na watu usiku na kumuweka diwani wa chadema ndani kwa masuala yanayohitaji uchunguzi kwanza ni udhalilishaji lkn pia ni siasa dhidi wanaoliongoza jimbo la iringa mjini. Ukiangalia kwa mapana ile ishu ni kama...
  10. Silverone

    Uingereza: Kwanini tuendelee kupoteza hela zetu kusaidia uzazi wa mpango Tanzania?

    Sikubaliani na majibu ya kutaka kurekebisha kauli ya rais, alichokisema sote tulisikia, sasa hawa wengine wanaokuja kujaribu kupose alichokimainisha wanajaribu tu kutaka kuokoa jahazi, kama aliteleza ni yeye mwenyewe wa kuja na kutuambia aidha jamani nilikosea au nilimaanisha hivi
  11. Silverone

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Kwa hakika ni aibu, haijapata kutokea, huu si uchaguzi bali ni uchafuzi,ktk isiyo tarajiwa m/kiti wa tume anasema hamna shida. Tangu sasa juhudi za makusudi kudai tume huru ya uchaguzi zinatakiwa kuanza.
  12. Silverone

    Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Uongozi wa visasi haujengi, ndio maana kiongozi unatakiwa kuwa na ngozi ngumu kukubaliana na unaotofautiana nao na hata wale unaotifautiana nao
  13. Silverone

    Freeman Mbowe akana kuhusika na hoteli ya Aishi inayodaiwa kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)

    Yaani hapo ccm wameishiwa nguvu, wameingia mkenge, nilisema "when God says yes nobody can say no" wameshupaza shingo wakijua wamempata Mbowe, kumbe Mungu aliye zaidi ya vyote anajua yote. Michuki yenu, miroho mbaya yenu, sasa mmeumbuka!
  14. Silverone

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tatizo hivi sasa la umeme wilaya ya mufindi hususani mji wa Mafinga mjini,umeme hauna nguvu, toka jana usiku umeme unakuja halafu unakata, ni bora ungezimwa Kwanza kuliko hivi, vitu vinaungua jamani.
  15. Silverone

    Umeme huu wa stigler's gorge!

    Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu wengi wamelalamika kuunguliwa vitu vyao.
  16. Silverone

    Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?

    Kama ulitumwa rudi kawaambie mbona hawa jamaa hawaelewi kuhusu Mbowe, wanampenda kupitiliza. Kama umetumwa na polepole mwambie kisiasa bado yupo kindergarten anahitaji kujifunza kwanza aingiee la kwanza, std 7,form 4, six, chuo ndipo aje kupambana na Mbowe
Back
Top Bottom