Search results

  1. Honestgirl

    Natafuta life patner

    Tusiojua kiingereza hatuna chetu hapo
  2. Honestgirl

    Natafuta mchumba wa kike

    Sisi wa kanda ya ziwa tunakomenti wapi?
  3. Honestgirl

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Mmmmh ww nae kiboko sasa unatafuta nn saiv na ww kubingirika na watoto jamani duh naona kama mama angi vile eee mungu muepushe mama angu na tabia za namna hii
  4. Honestgirl

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Amesema wakumlea sio kumzalia
  5. Honestgirl

    Natafuta Mwanamke mwenye sifa hizi

    Kila lakhkeri
  6. Honestgirl

    Kuna mwanamke ambaye yuko tayari kufanya harusi ya namna hii?

    Hayupo na harusi ni watu sio kwamba n unatoa kila kitu ww mwenywe mfukoni
  7. Honestgirl

    Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

    Sasa kama huji kumuoa unakuwa nae wa nini
  8. Honestgirl

    Wanawake kama hawa wapo wapi jamani?

    Tupo tupo
  9. Honestgirl

    Natamani sana kuoa

    Hahahahaha yes nimefeel tatizo lake
  10. Honestgirl

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba kujuzwa kuhusu mahali kariakoo vinauzwa vitenge na mashuka ya kimasai kwa bei nafuu bei ya jumla ?
  11. Honestgirl

    Natamani sana kuoa

    Nini tena?
  12. Honestgirl

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba kujuzwa kuhusu chimbo la vitenge na mashuka ya kimasai kariakoo?
  13. Honestgirl

    Natamani sana kuoa

    Pole mwaya utapata tu
  14. Honestgirl

    Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

    Haaaaaaaa!!!!!! Hii sio ndoa n gereza halafu utakuwa mnyanyasaji ww na sio mtu wa kawaida duh mm hata bila kutoa mahali sikutak mtu unajiinua kuliko hata mungu au ulijiumba mwenywe nn yani hakuna nmna yotote unaweza kuendesha maisha bila kushauriwa hasahasa na watu wa karibu sasa cjuw ww n mdogo...
  15. Honestgirl

    Mapenzi yanaua

    Ww ndio umekosea make from 2009 to 2017 miaka 8 umemuacha mwenzio kijijini na mbaya zaidi umemzalisha lkn kuoa hutaki sasa umemfanya mwenzio mlezi wa mtoto make ameshindwa kukuelewa kaamua ajiongeze make kaona hapa hamna ndoa n uchumba sugu tu so hapo ww hizo stress umezisababisha mwenywe bro...
  16. Honestgirl

    Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

    Sigara Kali, Stop generalization
Back
Top Bottom