Search results

  1. Mzee Kigogo

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam.

    Chanzo cha mzozo ni ugaidi wa hamas dhidi ya Israeli.
  2. Mzee Kigogo

    Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    Hata Netanyahu akiondoka bado vita dhidi ya ugaidi iko pale pale. Hamna kurudi nyuma
  3. Mzee Kigogo

    Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    Walikua wanafunzi wameenda kwa ajili ya kujifunza shughuli za kilimo magaidi wakawauwa kikatili kabisa. Na ndio maana mkubwa wa kazi netanyahu anajitahidi kuutokomeza mtandao wa ugaidi hapo Gaza na Middle East kwa ujumla.
  4. Mzee Kigogo

    Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

    Washughulikiwe bila huruma!
  5. Mzee Kigogo

    Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

    Bandiko lote hili point yako ni nini hasa?! Kwamba Netanyahu aache kuutokomeza ugaidi. Hilo sahau
  6. Mzee Kigogo

    Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    Anapambana na ugaidi. Kumbuka hamas waliuwa watanzania wenzetu wawili wasokua na hatia.
  7. Mzee Kigogo

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam.

    Waandamane tu ni haki yao ya kidemokrasia ila vita dhidi ya ugaidi iko pale pale.
  8. Mzee Kigogo

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Wadhibitiwe kabisa maana wana support ugaidi wa hamas.
  9. Mzee Kigogo

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Tulia hivyo hivyo magaidi washughulikiwe. Netanyahu alishakula kiapo Oct 7
  10. Mzee Kigogo

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Hii inahusiana vipi na comment yangu. Au umelewa tende ustaadhati?
  11. Mzee Kigogo

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Hao watoto ni wa kuchapa viboko wakalale maana hawajui nini maana ya ugaidi anaopambana nao Israeli
  12. Mzee Kigogo

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Harakati za kigaidi za akina hamas na magaidi wenzake washughulikiwe bila huruma.
  13. Mzee Kigogo

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Atamrudia Mungu akiwa nyuma ya nondo.
  14. Mzee Kigogo

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Ashughulikiwe maana anaidhalilisha dini ya haqi. Dini ya mnyaazi mungu
  15. Mzee Kigogo

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Magaidi wadhibitiwe bila huruma
Back
Top Bottom