ilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchi
Kusikilizwa ni jambo jema lakini hao wanaotaka muungano uvunjwe wanatafuta nini ? je ni kweli Zanzibar siyo huru ? na je Tanzania ndiyo Tanganyika ? je katika hayo makubaliano Nyerere na Karume walikusudia baadae uvunjwe ? mi nadhani liko kisiasa zaidi. hii itakuwa kama Libya, Egypt, Tunisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.