Search results

  1. C

    Hivi desk top computer inabetri?

    Jamani wanajamii naomba kujuzwa kuhusiana na betri kwenye Desk top computers,kwa sababu computer yangu aina ya DELL ninapotaka kuiwasha siku hizi, kwanza inanialert kwamba " computer batri is low", sasa nashindwa kujua hivi na hizi desk top nazo zina batery? Na kama zinazo basi zipowapi kwenye...
  2. C

    HTC Touch HD - No sound at all

    Ninayo simu aina ya HTC lakini ghafla imepoteza sauti na kwenye screen kuna alama ya headphones ambayo nimejaribu kuitoa nimeshindwa, sasa nimeshindwa kueelewa nimegusa wapi mpaka kuwa hivyo,na haitoi sauti yoyote ile muziki hata incoming call sisikii simu ikiita, sasa wana JF wenzangu kama kuna...
  3. C

    umeme

    jamani tatizo la umeme wa mgao litakwisha kweli kwa hizo wiki tatu serikali ilizotoa kwa wananchi jamani??????????
Back
Top Bottom