Search results

  1. M

    Hasara za kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine.

    Hali hii inahitaji uvumilivu kwa kuwa endapo utagundua mahusiano ya mwanamke huyo na mme wake wa zamani yanaendelea, tena jamaa anakuja hadi nyumbani kwako wakati umekwenda kutafuta. Je cha kufanya hapa ni nini? Ukiambiwa na majirani unakataa, ukimuuliza mkeo anakuambia ana muda mrefu...
  2. M

    Nimechoka kuumia, wadau nisaidieni.

    Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado inamhitaji. Nitafanyaje sasa ili turudiane.?
Back
Top Bottom