Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea. Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo...
  2. B

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibu
  3. B

    Kwetu sisi CUF, Lwakatare ni kama Okwi na Niyonzima

    Hamna ishu sasa hivi, hamna mvuto tena, mko nyuma ya ACT na hata NCCR wanaenda kuwazidi. Mtabaki kama TLP'. Mtaishia kuwa mamluki wa Chama Twawala.
  4. B

    Chini ya Mwenyekiti Magufuli akaunti ya CCM yanona, kutoka million 5 kwa mwaka hadi bilioni 20!

    Hizo watajibu wenyewe Chadema. Ila hapo Mkuu umenikumbusha zile1.5 Trilion
  5. B

    Chini ya Mwenyekiti Magufuli akaunti ya CCM yanona, kutoka million 5 kwa mwaka hadi bilioni 20!

    Msaada kutoka uchina kutokana na mahusoano mazuri aliyoyatengeneza Mstaafu J.K
  6. B

    Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Wenye uwezo wa kufikiri na kudadavua watakuwa tu na mashaka na hotuba ya leo
  7. B

    Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Tupe rationale ya kufungua vyuo na kufunga shule
  8. B

    Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Amesema maambukizi yamepungua sana na wamebaki wachache sasa kwa nini useme shule zitafungwa zifunguliwa vyuo. Watafungua vyote
  9. B

    Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    Dunia ipi? Ya Lumumba au
  10. B

    Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    Miujiza na uchawi vyote vipo
  11. B

    Watanzania 18 waliokutwa na COVID 19 Zambia wanasaidiwaje?

    Inabidi kupeleka sample za Mapapai, mbuzi, kware na mafuta ya gari huko Uganda. Hatuna imani na vipimo watakuwa wanatumika na mabeberu
  12. B

    Nini kitatokea kama Dawa ya toka Madagascar haitafanya kazi?[emoji1]

    Mliambiwa nyungu za mikaratusi, kashagwala, miarobaini, majani ya mapera n.k hadi mkaambiwa wiki ya nyungu. Sasa hivi tena inatafutwa dawa nyingine, ina maana mlizoambiwa mwanzo sio sahihi? Jiongezeni
Back
Top Bottom