Mara nyingingi hizo simu zainashida ya emmc (flash ic ) na sio processor kama anavyo sema. Hizo simu wameweka emmc card za bei nafuu (aina yake ni kingstone) ambazo hazidumu. Cha kufanya sio kupiga moto ila ni kubadilisha storage chip. Kama upo arusha unaweza nitafuta kupitia 0743098141 kwa...
Habari, ndio walicho andika ni sawa na ni waaminifu na wana mawakala mikoani kwahio ukiagiza mzigo watakupigia ukiwa umefika. Shida yao kybwa ni lwba shipping yao ni ya muda mrefu sana. Kuhusu mzigo kufika hakuna cha kulipia ni kuchukua tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.