Search results

  1. mugoda18

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Wakuu poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test ya bank ya TPB huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi? Maana nimeitwa kwenye interview, naombeni msaada
  2. mugoda18

    Maumivu ya kichwa kupitiliza

    Wanajukwaa naomba msaada wenu, nimekuwa nikiumwa na kichwa kwa muda mrefu ila sasa kimezidi naomba mnisaidie itakuwa shida nini???
  3. mugoda18

    Msaada wenu wadau

    Wadau msaada mwenye hints za aptitude test za Tanzania Postal Bank anisaidie, Nimeitwa kwenye interview position LOCAL TRAINER [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  4. mugoda18

    Naomba muongozo kuhusu hili la usaili wa zoezi la uchaguzi

    Poleni na kazi wakuu ivi waliofanya usaili wa hii kazi kwa mwaka huu ni maswali gani hasa wanauliza? Maana nimebahatika kuitwa na nategemea kuingia kesho kwenye usaili [emoji1545]
Back
Top Bottom