Search results

  1. S

    muccobs vipi under graduate

    jaman nataman kujua juu ya waliochaguliwa kujiunga na muccobs ie chuo cha ushirika moshi nipen manews.
  2. S

    Bodi bodi.... Bodi jamani

    suala si hilo tu,vp kuhusu wale waliopata chuo alafu mkopo wamekosa?unategemea nn
  3. S

    Mkataba mwingine kama wa Dowans huu hapa!

    jaman haya mambo yapo na ndo kwanza mikataba kama hiyo inaendelea..mwekezaj anapewa miaka 10free..halip kod ukiuliza kwa nn kenya wanafanya hivyo tusipofanya cc wawekezaj watakwenda kenya duh!ndugu zangu wahenga walisema ukimuona mwenzako ananyolewa wewe tia maji..tumeona zimbabwe.
  4. S

    How to use JamiiForums effectively

    duh!kweli humu kuna fikra pevu.,nashauri vijana waachane na facebook maana haina msaada kwa maendeleo ya taifa letu..jf ni cha ukweli mbaya..big up guyz.
  5. S

    How to use JamiiForums effectively

    maelezo mazuri ila bado sijafanikiwa kupost thread yangu ya mwanzo.
  6. S

    How to use JamiiForums effectively

    Okay nimekusoma mkuu..njema sana
Back
Top Bottom