Hayati Tuntemeke Sanga alipata kuwa mtu maarufu sana katika Bunge enzi za uhai wake.
Miongoni mwa hoja zilizokuwa na mashiko ni za kutaka Muungano uvunjwe badala yake Burundi na Rwanda zitwaliwe na Tanganyika.
Katika mawazo haya yenye kukinzana moja linaweza kuwa halisi siku si nyingi...
Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?
Nimesoma mengi sana nimebaini kwamba wachangiaji wengi wanafuata upepo na hili ni tatizo, Binafsi nampongeza kijana huyu kwa kazi nzuri anayoendelea nayo na kama serikali inataka tuendelee kuiamini angalau kwa miaka mitatu iliyobakia wasimbadilishie kitengo huyu Mkurugenzi. Let him finish his...
Mkuu inasemekana bei ni shilingi 200 kwa ekari moja, lakini haijabainika kama bei hiyo ni kwa mwaka au kwa kipindi gani na kwamba serikali za vijiji jirani zitaambulia shilingi miatano
Afadhali kama umenielwa mkuu, wako wanaodhani Nape anafanya kazi nzuri kwa taifa lakini kimsingi hata ndani ya chama anafanya kazi kwa niaba ya kambi moja, ipo siku atajuta kuzaliwa siku anaowafanyia kazi watakapoachia uasukani, sijui atakimbilia wapi.
Bifu lake na EL ni la tangu enzi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.