Search results

  1. S

    Natafuta Nursery nzuriiii kinondoni..ada isizid 4million

    Eeeh poleni sana maana wengine mmeumiaaaaa.... acheni wivu...lol....
  2. S

    Natafuta Nursery nzuriiii kinondoni..ada isizid 4million

    Asante lv Nilikuwa natafuta vitu km hv.
  3. S

    Natafuta Nursery nzuriiii kinondoni..ada isizid 4million

    Asanteni Ila pia ndio hivyo kila mtu na rizki yake. Km ipo tumia tu km haipo itafute.
  4. S

    Natafuta Nursery nzuriiii kinondoni..ada isizid 4million

    Mchana busy Simu haina nafasi kbs mkuu
  5. S

    Natafuta Nursery nzuriiii kinondoni..ada isizid 4million

    Hlw wakuu Natafuta nursery schools maeneo ya wilaya ya kino...ada yake isivuke 4m pls help. Asante
  6. S

    Shule ya nursery school nzuri wilaya ya kinondoni. Ada isizidi 4m

    Wapendwa hope mko poa Naulizia shule nzuri ya nursery ada yake isizid m4. Mtt ana 4yrs. Asante
  7. S

    Niandae pesa kiasi gani niweze kwenda China kuchukua nguo

    Asalaama wapendwa Mimi nafanya biashara ya nguo za kike na kiume. Niko na maduka matatu na nanunua jumla nauza rejareja. Biashara inalipa ila nina imani nikisafiri mwenyewe italipa zaidi maana wanaoniuzia jumla wanasafiri wenyewe. Hivyo naomba kujua natakiwa niwe na milioni ngapi niweze kusafiri...
Back
Top Bottom