Lori La Mafuta Lawaka Moto na Kuua Singida
Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba ambaye amethibitisha kutokea kwa...
Beaking News: Lori La Mafuta Lawaka Moto na Kuua Singida
Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba ambaye...
Kamanda wa Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa azungumza na Mwandishi wa DW Hawa Bihoga kuhusu maandamano ya Aprili 26 na kutoa tahadhari kwa wanaopanga kushiriki maandamano hayo.
Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.