Search results

  1. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ...dah! maana naona daily matokeo yao wanayopost yanafikirisha, odds za kibabe halafu daily wanatoboa dah!
  2. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi wale jamaa wa Instagram wanaouza mikeka ya timu 3, huwa ni uhakika au, nataka niweke pesa
  3. C

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Halina uhusiano ki vp wakati linatekelezwa wakati wa mfungo wa kidini
  4. C

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hajajielekeza vizuri katika tafsiri/maana ya bima, kuwa unachotoa siyo unachokipata, mtu anaweza asiumwe hata zaidi ya miaka mitano, lakini bado akaendelea kuchangia, je hizo fedha anazochangia zinakwenda wapi?. Kwa mantiki hiyo, Kichere alitakiwa aseme pia faida wanayoipata NHIF kwa kukusanya...
  5. C

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Hakuna mahali nimeandika kuwa tupewe nchi, unless umechanganya madesa, so ww ndiye usome vizuri, reply yangu kwako ni juu ya wewe kusema "unaweza kuta wachaga ndio wanaorudisha maendeleo ya nchi nyuma" na blah blah nyingi, honestly huwezi kuwa sahihi that's unbeatable fact, Kusema kuwa na...
  6. C

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Amina, ubarikiwe sana kwa neno hilo
  7. C

    Wapewe posho ya mazingira magumu (hardship allowance)

    Ni kweli, wengine wanakuwa na mawazo ya kijinga
  8. C

    Wapewe posho ya mazingira magumu (hardship allowance)

    Hoja nzuri, Mi pia nilitaka ku address issue hii, mi binafsi sihitaji hata hiyo posho, nikiangalia vile familia zinavyo farakana kisa wenza kutenganishwa inanisikitisha sana, Serikali imeweka muda wa miaka 3 bila kuhama ktk kituo kimoja, hii ni mbaya sana kwa wenza, na familia kwa ujumla...
  9. C

    Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

    Sijui shule wanaenda(ga) kufanya nn hawa
  10. C

    Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

    Kabila ni asili/trait lipo associated 100% na biological traits, kuna mtu ukimuangalia tu unajua huyu ni kabila fulani, kuna makabila watu wengi ni wafupi, lingine ni warefu, lingine ni weupe, lingine ni weusi tii, utamaduni ni namna ya kuishi, suala la kununua ukoo au kabila halibadilishi asili...
  11. C

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Na hata ukirudi nyumbani na chuma yako, unaalika majirani, na jamaa mnakaa pamoja kuria kitochi, sehemu nyingine ukishika pesa huwezi thubutu kurudi hata nyumbani, hayo maendeleo yatakujaje kijijini
  12. C

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Total lie, sijawahi ona hii kitu, acha kupambana ukijipa moyo maendeleo yanaletwa na upaka shume bata wahedi
Back
Top Bottom