Search results

  1. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    hapa kweli watavutika wengi.
  2. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    Karibu mkuu ushauri wako ni mzuri usiponisaidia mimi utamsaidia mwingine.
  3. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    Natamani mtu aliyefika ulaya anifafanulie kinachoshindikana Coffee shop kwa Dar. Ni kwasababu hakuna aliyejitokeza kuifanya? Natamani niifanye hii biashara hata kama sio kwa ukisasa zaidi ila iwavutie kila karba ya watu. Nitafute coffee maker/grinder kubwa nitafute site mjini nifanye. Cc RRONDO
  4. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    Uliifanyaje chifu! Ilikuaje ukaacha. Changamoto ni zipi?
  5. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    asante chifu. Ila ni kweli wanapenda uchafu uchafu kweli? Sio kwamba wauzaji ndiyo wamewazoesha
  6. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    mwanzo nili plan kufanya ulivyosema nikawa na wazo la kutengeneza hiki kitu Ila nikipiga hesabu ya return naona nitasubiri zaidi ya miaka kuweza kurudisha angalau investing cost kwa ile price ya 100 per cup or 200. Unaonaje hili? Ndiyo nikaja kwenye wazo la pili.
  7. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    Asante saana mkuu ushauri wako nitauweka kwenye mjumuisho wa hii biashara umeniongezea idea mpya.
  8. Webbcoffee

    Ushauri wenu utanisaidia sana

    Wakuu habarini za wakati huu. Mapenzi mubashara ndugu zangu watafutaji/wajasiriamali/wafanyabiashara yasiwe tu kwa wapenzi wetu bali hata sisi watafutaji tupendane sisi kwa sisi hasa kwa kipindi hiki. Leo nimekuja kwenu naomba ushauri utakaonisaidia niendelee hapa nilipokwama. Naomba ushauri...
  9. Webbcoffee

    Branded takeaway coffee cups

    JF ni kisima cha kila kitu... mwenye kulijua hili
  10. Webbcoffee

    Branded takeaway coffee cups

    Nahitaji branded. Shukrani ndugu
  11. Webbcoffee

    Branded takeaway coffee cups

    hivi vitu kuna mtu anatengeneza! Naomba kujua bei yake na utaratibu kisha tufanye biashara. Nataka kama hizi lakini kwa jina langu.
  12. Webbcoffee

    Naomba msaada nataka nifungue kijiwe cha kahawa

    Za muda huu naweza kuona hizo take away kwa picha nione zilivyo
Back
Top Bottom