Search results

  1. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Mkuu nipo dar saiv, mbinga nilitoka huko mwaka jana.....
  2. Akili Sina

    Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

    Huu uzi kuna mtu kau kopi na kubu edit
  3. Akili Sina

    Njoo tujifunze Kiitaliano

    Kiitaluano ni kutamu sana, ukiweza ku flow una enjoy sana! Ingawa kispaniola ni kitamu pia, vina randana sana na kiitaliano kwenye maneno mengi
  4. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Kuna nondo moja ntaileta, ni hatari, hiyo hata mimi nimeikubali
  5. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Eti nimejikuta na mimi naisoma tena hii story, kumbe ilikuwa tamu
  6. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Stori si yangu mkuu, Ngoja kuna nyingine ntaileta hapa nayo utasema tena ni yangu
  7. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nadhani atakwepo maana si miaka mingi sana imepita
  8. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Niliumwa wiki mbili, nikawa nahis kufa kufa tu
  9. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI Ilipoishia,,,,,,,,,,,,, Tukarudi kwenye magari tukaanza kupiga stori, kumbe wale jamaa wameenda kujikusanya limekuwa kundi kubwa wamekuja pale yard wanataka wafunguliwe waingie lasivyo wanavunja geti, wapo na mawe, mapanga, mafimbo, basi ikawa fujo pale, kesi ikawa...
  10. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA Ilipo ishia,,,,,,,,,,,, Basi nikamaliza pale, nikatafuta sehemu nikaenda kupiga maji maana nna siku kadhaa sijaoga, Tukarudi kwenye gari abduli akanipa kadeti yake nyeusi na t-sheti nikavaa kidogo na mimi nikaonekana mtu, akaniambia wanasubiri mida ya saa kumi hivi...
  11. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA ISHIRINI Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,,, Daah! sasa ntatokaje tena humu ndani, hili mbona balaa jingine tena, nikichungulia naona ma mbwa yanazunguka zunguka humo ndani, aisee hiki kimbembe tena, nikasema hapa polisi pananihusu tena, nikiulizwa nimeingiaje humu ndani nitasemaje, na...
  12. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA KUMI NA TISA Ilipoishia,,,,,,,,,,,,, Nikakaa pembeni ya mto pale nikamalizia vitunda vyangu, nikanywa maji tena nikajiskia fresh sasa, nikavuka ule mto nikaendelea na safari yangu, nikatembea mpaka msitu ukaisha nikatokea kijijini, Endelea,,,,,,,,,,,,,,,, Nikatembea mpaka nikafika...
  13. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata, Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela, Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
  14. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA KUMI NA NANE Ilipoishia,,,,,,,,,, Kumbe bana mule ndani si wote wanafurahia wakiona mambo yako yakiwa yanaenda fresh, kumbe si huku mtaani tu hadi jela watu wenye roho za husda wapo, Endelea,,,,,,,,,,,,, Siku moja ndo tumerudi kutoka kiwandani, tumeingia ili tupige msosi, Mara...
  15. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA KUMI NA SABA Ilipoishia,,,,,,,,,,,,, Mzee kwa mara ya kwanza natimba gerezani, wacha kabisa!! Siku hiyo sikulala kabisa, niliwaza mambo mengi sana, Nikakumbuka maneno ya Sity " Ebu jichunguze ni wapi ulipo mkosea Mungu", Nikakumbuka sana kijijini kwetu, Nikasema bora na mimi...
  16. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA KUMI NA SITA Ilipoishia,,,,,,,,,, Mara nikapigwa na kitu sjui ni nini, kuanzia hapo ndo sikujua nini kiliendea tena, nikawa nimefloot, Endelea,,,,,,,,,,,,,,, Nilikuja kupata fahamu nikajikuta nipo wodini, Nimelala kitandani nimetundikiwa drip, nimepigwa bandeji karibu kila mahali...
  17. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    SEHEMU YA KUMI NA TANO ilipoishia,,,,,,,,,,,,, Kweli kesho ikafika, Daah ni siku ambayo sitakaa niisahau maishani mwangu, yani yaliyonipata siku ile ni Mungu tu aliingilia kati, daah!! We acha tu, Basi bana siku ilianza fresh tu yaani,kulipambazuka vizuri nikajiandaa pale niende zangu moshi...
  18. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Ni kweli, nilwaza pia hicho kitu, ila shida ilikuwa muda umeenda sana, kipindi kile nilifanikiwa sababu madogo walikuwa wananijua, pia walimu walikuwa wananijua ndo maana haikuwa shida, Lakini kwa muda ule nisingeweza maana pale hayo mambo hayaruhusiwi na ukikamatwa ni kesi kubwa
Back
Top Bottom