Search results

  1. R

    Niambieni jamani hivi..............

    "Nyimbo hii itachangia kuharibu kiswahili" naomba mniambie kama ni sahihi kutumia "Nyimbo" katika umoja maana The boss ametumia nyimbo katika uwingi wakati wa kuuelezea wimbo wa hakunaga wa sumalee kwamba utachangia kuharibu lugha ya kiswahili, kwa maelezo niliyoyaweka katika alama za fungua na...
  2. R

    Uwingi wa neno hili

    Tafadhali naomba mnisaidie UJUMBE (message) maana nimekuwa nikisikia baadhi ya watangazaji wakisema "Naanza kusoma JUMBE mlizotuma" je ni sahihi?
  3. R

    Naomba mnisaidie neno lipi ni sahihi?

    Ndio na ndiyo
Back
Top Bottom