Search results

  1. D

    Mwanamke kwa mahusiano ya kuelekea ndoa

    Ni Mwanaume wa miaka 29, mwajiriwa serikalini. Nahitaji mwanamke seriously kwa mahusiano ya kuelekea ndoa, awe na umri 23 hadi 27, mkristo ama awe tayar kubadili dini, asiwe na mtoto coz mwenyew sina. Karbuni
  2. D

    Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

    Kwema ndugu zangu!!! Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika. Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya...
  3. D

    Tuwasamehe wazazi waulizao kazi kabla ya kupanga binti yao

    Heri ya Christmas wana jamii forum wote. Wanaume wenzangu naomba tuwasamehe wazazi kwa kutaka kujua shughuli unayofanya kabla ya kuoa binti yao, haya yote wanafanya kwasababu ya mapenzi kwa binti yao, wanapenda binti yao asipate tabu ya kimaisha uko aendako. Kikubwa ambacho hawajui n jinsi...
Back
Top Bottom