Search results

  1. D

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Kwa akili yako unafikili utapata mwanaume mwingine ambaye hachepuki?
  2. D

    Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Aliniambia nisioe kabila Fulani la Kanda ya Kaskazini, nisioe pia mwanamke aliyenizidi elimu
  3. D

    Wadada wengi waliofikia umri wa kuolewa na hawajaolewa kwa asilimia kubwa wako frustrated ni warahisi sana kukasirika

    Hahaha hao watu ni shida ni watu wa kulalamika sana na kujifanya wanayajua Sana mahusiano
  4. D

    Mwanamke kwa mahusiano ya kuelekea ndoa

    Sijaokoka ila naamini katika dini
  5. D

    Mwanamke kwa mahusiano ya kuelekea ndoa

    Ni Mwanaume wa miaka 29, mwajiriwa serikalini. Nahitaji mwanamke seriously kwa mahusiano ya kuelekea ndoa, awe na umri 23 hadi 27, mkristo ama awe tayar kubadili dini, asiwe na mtoto coz mwenyew sina. Karbuni
  6. D

    Upepo wa mabinti kuwa single mama kwa lazima

    alafu Nina zawadi yako
  7. D

    Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

    Hahaha ili swala lishatolewa ufafanuzi mwingi Sana humu.
  8. D

    Mchumba kuharibu Sifa kwa wazazi wangu hata kabla sijamtambulisha?

    Yaani mkuu unaamini kitu usichokua na uhakika nacho, unaamini vipi amebemendwa Wala ujataka kufikiria magonjwa mengine. Have a logical reasoning
  9. D

    Wanawake wazuri wengi wamezalishwa na wako nyumbani kwao, au kuna kampeni maalum ya kuwapachika mimba na kuwatema?

    Daah mkuu umenigusa, Kuna manzi nimekutana naye ni mkali balaaa ila ndo ivyo wahuni walishafanya Mambo, Namuacha kishingo upande
  10. D

    Natafuta mume

    Pamoja mzee
  11. D

    Natafuta mume

    Hahaha sio ant virus ni antretroviral therapy (ART)
  12. D

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Hakika mmeo kapata mke
  13. D

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Nikiona comment kama hii inanipa moyo huenda nikapata mwanamke wa namna hii
  14. D

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Kuna wanawake mnatupa at least moyo wa kuoa
  15. D

    Nimedukua wasap ya mke wangu mapigo ya moyo Yanaenda mbio dawa gani nitumie

    Tumia mood stabilizer Drug amitryptine 50g od alafu lala
  16. D

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Duuuh wanawake wa siku izi mungu atusaidie yaan kurudi saa nne mnaona kawaida tu na mnamchukia mtu anayepinga ilo.
Back
Top Bottom