Mkuu Nape ni Mbunge wa Mtama sio Mchinga. Swali; hivi waandishi wakigoma na wamiliki wakiwatuma wakaandike itakuwaje. Kimsingi tasnia hii inahitaji marekebisho makubwa ya kutambua nafasi yao. Kwa ufupi wana kazi ya kufanya kuepuka changamoto tuzionazo leo hii.
Acha ifanyike kwa uwazi kwa kuwa hawa wauza unga wana tabia ya kutangaza mafanikio yao hadharani na hatimaye kuwaathiri vijana kudhani maisha ni rahisirahisi
Wizara hii imepatwa. nilidhani wangejipanga kutumia muda kama huo kupeleka miswada ya kuboresha sekta upande wa huduma na wala sio miswada ya kutambuana kwa majina. Nawashauri warejee maoni ya wananchi kuhusu kulegalega kwa huduma za afya hapa nchini. kama anawaogopa wabunge watampa za uso kwa...
Watu wengine bwana. Kazi kweli, eti mnamuombea ashindwe. Natabiri mtasubiri sana. Hizo ndo kanuni alizitumia alikopitana zikamletea tija. Kaeni na roho zenu mbaya. Aliyepewa kapewa,hata mkifanya chuki, bure mwajisumbua
Nimeona wakati anatoa maelezo yake. Japo simuungi mkono kisiasa ila ni sahabiki wake kwenye game ya Hip Hop. Kiukweli imeniuma kushambuliwa kiasi kile na Martha (au alitumwa na akaingia kichwakichwa?) Faiza amekuwa si mstaarabu na yawezekana ana stress au depression akafikia hapo kuwa na vituko...
Nimeangalia tangazo la ITV linaloelezea upatikanaji wake kwenye ving'amuzi mbalimbali na Satelite. Lakini nimestaajabu hawakuitaja Startimes. Najiuliza iwapo ni technical error au imekusudiwa? Je, kuna bifu au ndo kuchokana. Mwenye habari kamili atujuze
Ni elimu tu ya mambo itakwambia unataka kusema nini hata kabla hujatamka. Hili si tatizo la kisiasa, wanasiasa kutaka kuvuna mtaji wa kisiasa ni kujichuuza wenyewe. Hapo mwenye mamlaka ndio atatoa jibu la manufaa au hasara. Wengineo watakupotezea muda
Nina uhakika asilimia mia mbili. Jiulize tatizo ni nini. Kuondoa Traffic Officers barabarani amri inatolewa na Mbowe? Kusitisha mafunzo ya madereva, amri anatoa Mbowe?
Maskini watz, shida kichwani unatibu mkono. Mbowe hata akizungumza nao hatotatua shida waliyonayo, mara ngapi wanasiasa wameishia kubeba popularity kwa ahadi zisizofanyiwa kazi na CCM? Napenda wachina na waisrael, Piga kwenye kiini cha tatizo na sio kuyumbayumba na vumbi
Wangewahi darasani waje wawatoe nishai wasitaka kusoma. Tumechoka kuhudumiwa na watu wasiojuwa umuhimu wa taaluma yao, vifo na ulemavu ndio gharama za kuendeshwa na waendesha magari wasio na elimu
Ptuu, humo nilimokoleza rangi ndio majibu ya thread yako. Kajipange upya. Mie hapa nipo gizani na ndio kawaida yetu huku Kigamboni kukosa umeme, sasa unataka na mie nikwambie kuwa kati ya watu wanaochukiwa na dunia ya Kigamboni ni Profesa Muongo? Teh teh teh teh, kumbe usipotembea unadani dunia...
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Familia yake wajaaliwe subira na wauwaji Mungu awalipe hapahapa duniani na siku ya mwisho wapate adhabu kali.
Mwandishi Chachu Ombara umeweka picha zinazotaja jina lake, ulipoandika jina limehifadhiwa una maana gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.