Search results

  1. mteule

    Msaada plz, account yangu ya email wame hack

    Wakuu nisaidieni, kuna mtu ame hack account yangu na ameanza kusambaza email za kipuuzi kwa kutumia address yangu. Nimebadili password, na nimeweka filter kwa email zote zinazoingia. Je kuna namna nyingine ya kulinda account yangu ili ufedhuli huu usitokee tena?
  2. mteule

    Tip: Hire a freelancer, it saves you alot of money.

    Habari Jf members Kwa wale wajasiriamali wote mnaosoma habari hii, Ninatoa huduma za book keeping, Taxation, payroll, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuongeza biashara yako ikue. Napatikana dar es salaam. Nina Degree ya Accounts, na ujuzi wa miaka 3, nikifanya kazi na small businesses...
Back
Top Bottom