Search results

  1. M

    Vincent Nyerere ateuliwe mkurugenzi wa kampeni na oparation CHADEMA

    Vicent ni kiboko wa yote Mr. Clean yupo hoi nyanganyanga, kajihaibisha mzee loo, Lowasa naye hali mbaya Mchungaji wake wa Nigeria atamsaliti muda si mrefu. Wasira nae usingizi juu nasikia mpaka leo hajaamka. Ahhhhhhhh ka politiks noooma. Nape kapatana na Lowasa ili wapande jukwaani pamoja...
  2. M

    Dk Slaa amshukia JK

    Kweli unahaki ya kusema lakini "si kila mwenye haki ya kusema anasema kila anachojisikia". Watu hawajachuikia ulichokisema ila wamedaut upeo wako wa kufikiri....si unajua This is the home of geat thinkers?. JK anatoa zawadi, OK, hatujakataa ila hujui kwann anafanya hivyo? Yeye ni rais atoi...
  3. M

    Nape: Nilisoma kwa shida (Live channel ten)

    Kweli huyu mjinga kweli asinge dharau ualimu, yeye kama mwanasayansi mbona pamoja na wenzake wameshindwa kuleta mapinduzi ya kisayansi. Wenzenu wamehama wanaishi kwenye sayari nyingine we bado jembe na nyundo unajiita mwanasayansi. Hajui kuwa mwanasayansi mzuri ni mwalimu anayeondoa pumba kwenye...
  4. M

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Pole bro, najua utakuwa unapata shida kweli ndo maana umeamua kutushirikisha. Ushauri wangu ni kwamba never giv up, usimwone mke wako educated ukadhani atamaster kila kitu mambo ya ndoa ni commitments zisizohitaji cheti except adherence. Kamwe usikubali kufanya anayotaka at the same time usiwe...
  5. M

    CHADEMA Kususa Mwenge na sherehe za miaka 50 ya UHURU ni KUKOSA UZALENDO

    Huyu kweli kama si mnafiki, mjinga au fisadi atakuwa mwendawazimu. Haiwezekani avipe kipaumbele vitu visivyokuwa na tija. Haina maana kukimbiza mwenge nchi nzima na huku nchi iko gizani, si vizuri kufanya sherhe za miaka 50 ya uhuru huku hali ni ngumu mitaani. Utashi wa kisiasa umehamia kwenye...
  6. M

    Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

    Ndugu zangu wanajanvi naomba niwatoe wasiwasi, Deo Mnishi namfahamu sana siyo mbabaishaji na anamsimamo wa aina yake. Kipindi tupo chuoni (MLIMANI) alikuwa akiongea ukweli bila kuficha pale ambapo aliona kuna kuuziwa mbuzi kapuni. Lakini vile vile ni kati ya vijana walioshika uongozi tukiwa...
  7. M

    Eng. Stella Manyanya atangaza vita

    Ndugu wanaJANVI wenzangu, leo katika kipindi cha bunge wakati wa kujadili mswada wa katiba mpya hatimaye Eng.Manyanya kapewa nafasi na kuzitoa hisia zake alizofikiri zinaendana na weledi wa elimu yake aliyopewa kwa upendeleo. Si semi kwa vile nina upendeleo na upande wowote ila nimeumizwa na...
  8. M

    Kwanini Dr. Slaa anawasifia polisi?

    Hapo nami naona mnasema ukweli, hii inaonesha ni jinsi gani Dr slaa ni chaguo la wengi na anachokisema lazima kila mtu akikubali, angesema Rahisi Jakaya kila mtu angemkemea na kusema ashindwe na alegee takribani viungo vyote.
  9. M

    Kwa staili hii ya Sabodo naweza kabisa nikaamini CCM na CHADEMA lao ni moja

    Kwanza nakupongeza mwanaJF kwa kumpa ukweli huyo mwana CUF kwamba chama chao kilifia Znzbar kwa uroho wa madaraka. Pili naomba mwenzetu ajue kuwa maji na mafuta havichangamani, yaani hata siku moja chatu na mbwa hawalali chumba kimoja. CCM janga lake kuu ni CDM yaani CCM wanaenda kwa wanganga...
  10. M

    Zitto Z. Kabwe hapigi kelele tu bali vitendo vyake vinaonekana

    Last week Hon. Zitto Z. Kabwe attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of his job) as MP of Kigoma Kaskazini, at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC). In all of these meetings participants are...
  11. M

    Elections 2010 Wizi wa shahada igunga

    We inaonakana wazi ni magamba, lakn nauliza mtavua lini tena gamba maana hata nyoka huwa anavua gamba mara kwa mara?.
  12. M

    Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

    Ndugu wanaJF anachosema Prof. Safari ni kweli kabisa, hawa wanazuoni wa kiislamu wanashabikia mambo wasoyajua au basi kama wakijitetea wakadai wanajua walifanyalo basi watuthibitishie kuwa wameungana na wenzao wa CCM na wako kwenye kampeni. Vinginevyo wanajiingiza kwenye mambo machafu yaani...
  13. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Binafsi nashukuru sana mwanajf kwa kututumia picha hizi maana zinatoa ukweli ulivyo tofauti na washabiki wa magamba wanaotumia baadhi ya vyombo vya habari kuongea uongo kwa wananchi kuwa CDM Igunga imedorola. Hapa tumeona watu nyomi na wanonekana kuwa na hamu kweli ya kubadili maisha yao ...
  14. M

    PICHA: Angalia jinsi CCM inavyoweka maisha ya watoto hatarini

    Ninachoamini mimi CCM wameshindwa kujua kuwa muda wao umeisha hivyo wanachofanya ni liwalo na liwe, yaani kwa neno jingine ni ubabaishaji. Watoto wanawaitaji mikutanoni ili wajaze viwanja na kamera zioneshe watu wengi. Hawafikirii kuwa watoto hawapigi kura.
  15. M

    CHADEMA kuna nini igunga?

    Najua we ni wa magamba, na nakuhakikishia kuwa CDM wako juu kuhusu kutuma taarifa watatuma baada ya kufanya utafiti sunajua CDM huwa hawakurupuki?. They never speak without evidence!.
  16. M

    JK kumfuturisha Sheikh Sharif leo huku Bunge likijadili Mafuta!

    Kikwete ndiyo zake, yeye mambo magumu huwa hataki kuyagusia ila tu, starehe na burudani kama hizi utamkuba .Acha tu ajiuze kwa majirani
  17. M

    JK zungumzia haya kwenye hotuba yako ya mwisho wa mwezi July

    Jamani! Jamani naomba mniache! Mwezi huu kwanza nina dharula ya kwenda kwa Mtarika kusuruhisha mgogoro huu. Si mnajua watanzania jinsi wanavyotuamini, hasa mimi kumbuka nilivyomaliza ya Kenya. Siji kuhutubia mwezi huu ''Akili ya kuambiwa changanya na yako''.
  18. M

    Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

    Nawaunga mkono waungwana Nape siyo mheshimiwa hata kidogo, na tena ndugu zangu nawambieni kijana huyu ametumia majukwaa sana kuuza jina lakn hatafika mbali. Mi siyo nabii ila nayatabiri mambo.
  19. M

    Makosa ya watetezi wa CCM hapa JF

    Hawa waache wapoteze muda wakijua wanasaidia ccm, kusema kweli JF wanaichefua kwani wengine awachangii lakini kama hoja muhimu ikitolewa na Intellectuals wanaichafua na mapicha yasiyofaa, kwa kweli hawa ni bora wajitoe kwenye mtandao wetu maana hawafaidiki na lolote, hawawezi kubadili akili za...
  20. M

    Sitta kuongoza shughuli za Serikali Bungeni wiki hii

    Sina nia mbaya na mtoto wa mkulima ngoja naye afurahi, maana na rais wetu aliwahi kuulizwa kwanini ziara zake nje ya nchi zinakuwa nyingi?.Mh. akajibu "jamani ndugu zangu mnataka nibaki hapa kila siku tu kula mihogo".
Back
Top Bottom