Search results

  1. quier

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Nilimiss kukuona jukwaani sister
  2. quier

    Ni wapi tena kuliko na matunda ya bei nafuu zaidi ya Kakonko mkoani Kigoma?

    Hata hapa dar matunda ya bei poa yapo ni wewe tu kujua machimbo ya kupata hayo matunda. Kwa mimi tegeta nyuki mle sokoni kuna maparachichi ya 100 yapo
  3. quier

    Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

    Unafatilia sana maisha ya watu broo. Kwa style hii kutoboa itakuachukua miaka mingi, Una uhakika gani kama analipwa hiyo we ndo unaidhinisha malipo??
  4. quier

    Wasabato huyu mama ni tapeli ni nani alimleta kwenye mikutano yenu?

    Si kila mwenye mvi ni mzee mi nina mvi toka nina miaka 8 usikariri jirani
  5. quier

    Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

    Lakini kila siku wako hapa kuanzisha thread za kuwatuhumu wanawake. Kwa siku huwezi kosa mada zaidi ya 1 za kuwalaumu wanawake ila sasa ukija kwenye uhalisia they're worse mtoto wa 5yrs kweli???
  6. quier

    Baada ya Kumsaidia na Kufanikiwa Anaomba Nimuoe!

    Mpe anachotaka sio mtoto huyo anajua anachokitaka. Ni namna yake ya kukushukuru anajua hakuna namna nzuri ya kusema asante zaidi ya kukutunuku mbususu yake
  7. quier

    Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Kwenye comments huko wameelezea kila kitu. Mimi si mwandishi mzuri ila ukiweza wakati wa sala sali na zaburi ya 51. Usisikize maoni ya kejeli toka kwa wasioamini, Mungu anajibu kwa uaminifu sana mimi ni shahidi Amini katika maombi unayo omba na unaweza yaandika pembeni ili usiyasahau. Muda mzuri...
  8. quier

    Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Nenda kwenye play store download app ya Mt.Rita wa Kashia kuna sala zote pale. Kama tayari unayo unataka kusali ya masaa 15 au ya siku 9
  9. quier

    Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Ila sperms zitunzwe kabla hawajauwawa ili tuendelee kuijaza dunia😅😅
  10. quier

    Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Bado tu hujamaliza hili mkuu, kwanini unaumia watu wakitumia hela zao na ambazo hujui wamezitafuta vipi?? Inatosha mwanao kusoma shule za kama so usi force tufanane. Mwisho wa yote hakuna atakae kuja kwako kuomba ada au hifazi siku mtoto akikwama
  11. quier

    Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    Njoo bunju huku kama kuna kampuni inaitwa oyaa nayo ni kausha damu unapata mkopo fasta hayo mengine mtapambana nayo wenyewe mana wanajua kudai balaa
  12. quier

    Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

    Baba mlezi Ali Rashid Mwenge Mwenyeji wa iringa ni Police. Kwa anaye mfahamu tafadhali Mana sijui Kama ni mzima ama ........ Miss you Dad.
  13. quier

    Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Samahani mdau Ila sikuoni Kama baba Bora kabisa. watoto wa kike huwa wanajengeka vyema hasa kwa kujiamini wanapokua karibu zaidi na wazazi wao wa kiume
  14. quier

    Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Kama unaamini kuwa Maziwa makubwa yanamfanya mtu anakua mbaya pole pengine hujakutana na wenye Maziwa na wanaoweza kuyavisha yakakaa poa. Tumia nafasi hiyo kumfanya ajione kuwa ni special na umfanye ajiamini kwa Hali hiyo Mana ni maumbile yake. Akiwa na confidence tu inatisha kwanza nyie Kama...
  15. quier

    Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

    Mjini hapa Kila mtu na matatizo na shida zake, hiyo aliyepanda bus likiwa limejaa hakufikiria Kama Hana uwezo wa kusimama?? Jua hili, joto na jasho la konda na abiria kila mtu anatamani apate nafasi ya kupumua so ukisema uanze kupisha Kila mzee na mjamzito kwenye daladala unaweza fika kwako...
  16. quier

    Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

    Asante kwa elimu kiongozi👌
  17. quier

    Ushauri: Nimetofautiana kauli na mama yangu mzazi

    Mi hata sikushauri kuomba msamaha sijajua ulimwambia neno gani la kuudhi ila haijalishi yeye ni Mkubwa kwako alitakuwa kuonyesha busara hayo yote yasingetokea. Anza upya kwa kufuta akilini kuwa una mama mpotezee mazima hata msaada usimtumie wa nini sasa Kama ana chuki kubwa hivyo kwako...
  18. quier

    Le Mutuz ashindwa kuhudhuria mazishi ya Dkt. Mwele mkoani Dodoma

    Nimemshangaa Sana mange kumsimanga na kumtolea maneno machafu ya kuwa yeye ni mtoto wa nje ya ndoa kwamba upatikanaji wake ulitokana na ukahaba wa mama yake wakati huo huo yeye pia alipatikana kwa njia hizo hizo. Imenishangaza Sana nadhani hayuko sawa kiakili mange
Back
Top Bottom