Search results

  1. D

    Kodi ya kuingiza bidhaa Tanzania ni asilimia ngapi?

    Wakuu , nnaitaji kununua camera from eBay, sasa naulizia ikifika kwa njia ya posta.. Nackia kuna kulipia kodi, Je, kwa makadirio kodi utakua kiasi gani, bei ya camera ni $300....laki sita naa.. Msaada jaman wataalam Mwalimu Rct na wengine... THANKS
  2. D

    Naitaji domain na hosting for my new website, MSAADA

    Guys habari zenu,.. Naanzisha CMS based website soon, sasa naombeni ushauri juu ya domain na hosting Kuna kampuni za kitanzania nimeona zinadeal na haya mambo, je zpo secured??.... Na VP speed ya site kuload na other related stuffs AU it's better kuwatumia WordPress plus bluehost au host...
  3. D

    Nafasi za kazi kwa waandishi wa habari

    Je, wewe ni mwandishi wa habari?? Umesomea tasnia hiyo?...na hata kama hujasomea lakini unao UWEZO wa kuandika habari 2 kwa siku, Yes, habari 2 kwa siku ktk sekta mbalimbali kama vile habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani na sekta zingine kama biashara, teknolojia , mahusiano n.k...
  4. D

    Naitaji laptop , used but in good condition, HARAKA!

    wadau naitaji laptop yenye sifa hizi HDD 500GB Core i5 Graphics : Intel HD (4000+) NA iweze kucheza games za kawaida kama PES 2017, FIFA na GTA San Andreas... Iwe used but in good condition, ikae na chaji... Budget 300-350k,....maximum 400k Nicheki WhatsApp 0713626525, Naiitaji ndani ya...
  5. D

    Waandishi/wauzaji wa vitabu/ebooks...JISAJILI KUUZA VITABU/EBOOKS online

    Kwa wale wauzaji na waandishi wa vitabu na ebooks...tumia fursa hii kujisajili kuweza kuuza vitabu /ebooks zako ONLINE kupitia www.mobbishop.com Kama wewe ni mwandishi/muuzaji wa vitabu vya kategori mbalimbali kama vile - biashara - ujasiriamali - life skills/motivations - agriculture -...
  6. D

    FURSA kwa wauzaji wa nguo,viatu,pochi na electronics ONLINE

    Mobbi shop ni ecommerce website iliyoundwa kwa ajili ya kuunganisha wafanyabiashara (hasa wale wanaposti bidhaa zao via FB/ IG) na wateja wengi zaidi. Lengo ni kusaidia nyinyi wafanyabiashara kuwa na official selling place online, ukiachana na social networks ambazo lengo lake kuu ni...
  7. D

    Njia 3 rahisi za kuongeza mauzo ya bidhaa msimu huu wa sikukuu

    Ukiskia fursa kwako wewe mfanyabiashara, hii ni yako. Tumia tips hizi kuongeza mauzo/sales katika biashara yako kipindi hiki cha sikukuu. 1. TOA DISCOUNT Kulingana na biashara unayofanya, angalia unaweza kutoa punguzo kiasi gani kwa bei ya bidhaa zako. Hii itasaidia kuvutia wateja wengi zaidi...
  8. D

    Ndugu mteja, je waifahamu mobbi shop?

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo teknolojia inavyokua, na sasa wengi wetu tunanunua vitu online...SASA Kwa mini uendelee kuibiwa na matapeli pale unapofanya manunuzi??kutofaham bei kunapelekea wengi kulizwa na matapeli hawa Kwa nini ununue vitu visivyo na ubora?? Kwa mini uendelee...
  9. D

    BUSINESS IDEA: Ecommerce website...read and comment

    Salute wakuu, hope harakati zinaenda ipasavyo. Straight to the point, kuna idea hii ya ecommerce website kwa tz, nmekua nikiifikiria sana na sasa nimeamua kuifanya. Looking at tz, naona giants kuna jumia, na other listing sites kama kupatana...(add wengine tujuzane zaidi) Sasa to me, am...
Back
Top Bottom